Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli Gwajima na B. Sitta ni wanasiasa wa siku nyingi!!?? Mama A. Kizigha yeye basi atakuwa "mhenga" wa siasa kama wakina Wassira na Warioba.Je Furaha Dominic Jacob Mtia nia wa CCM Jimbo la Kawe ni nani?
Jee amefanikiwa kivipi kupata ushindi Kawe ?
Jee anao umaarufu gani ulio muuza kwa wapiga kura?
Jee ametumia mbinu gani ambazo wanasiasa wa siku nyingi kama Angela Kiziga, Ben Sitta, Gwajima wameshindwa kuweza kuzitumiwa?
Jee Kuna msaada gani ulio muwesha kufanikiw, kama upo ?
Jee Uombaji kura haukuweza kumshawishi mpiga kura ampigie sababu muda ulikuwa hautoshi?
Jee ana muonekano gani kiasi unamvutia mpiga kura bila yeye kuomba kura?
Jee mtazamo wa sisi waombwa kura umebadilika kiasi ujana ndio karata yenyewe ?
Na mashwali mengine kama yapo ambayo yatatusaidia wananchi kupata uelewa jinsi gani tunaweza tukaangusha Mibuyu. I rest my submission.
Kijana wa Pombe huyooHabari,
Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?
Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?
Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
Siasa huwa ni agenda ya wakati na mgombea ana washawishi vip wapiga kura ili aweze kuwatumikia/kutatua changamoto zao.Hivi kweli Gwajima na B. Sitta ni wanasiasa wa siku nyingi!!?? Mama A. Kizigha yeye basi atakuwa "mhenga" wa siasa kama wakina Wassira na Warioba.
Mkuu DIT kuna coz ya ubaharia?
Siasa huwa ni agenda ya wakati na mgombea ana washawishi vip wapiga kura ili aweze kuwatumikia/kutatua changamoto zao.
JPM hakuwa na uzoefu kama akina Sitta na EL, yet alionesha kama mtu wa wakati 2015;
JK hakuwa na uzoefu kama Salim A. Salim au Malecela; yet 2005 akaibuka kidedea.
Obama hakuwa na uzoefu wa muda mrefu ukilinganisha na Joe Biden na Hillary Clinton kwenye chama cha Democrats; yet akawa na agenda ya wakati na he made it to the Whitehouse.
Kisiasa nadhani wangechukua siku kadhaa kusikiza vision na manifesto ya kila mgombea kuhusu agenda yake kwa jimbo kwa muktadha huu Kawe.Mkuu kuna agenda yeyote ulioisikia wakati wakiomba kura?
Ben Sitta ujue ni Kijana sana hata suala la umea wa Kinindoni tulijua ni mbeleko japo ana elimu kiwango kizuri cha elimu. Kuna wengi watia nia ni vijana sana pia wakiwa na uzofu na elimu nzuri tuu.
Na hata Askofu Gwajima sio mweupe kichwani yupo vizuri sana. Hapa tunataka kuelewa mbinu ili kuhalalisha matokeo.
Watia nia wote karibu wana vigezo na hao wawili Sitta, Kizigha wamekuwa katika siasa za Chama kawe kwa muda ni mobilizers per ecellency, hali hii ndio inatufanya tujifundishe ni mbinu mpya gani mjini ya kumobilize kura. hii itaondoa wasi wasi wa mgombea ni nani.
In Obamas case, the USA Deep State wanted to dispell certain mirth and clean the politics as the American people were already showing sign of political fatique. It was a combination of many factors.
KUMBE! basi ile hoja ya kujiuzulu Ukurugenzi wa Jiji la Dodoma auweke kando, km mwenzake KatambiKatika jimbo la Mlimba kulikuwa 39, Godwin Kunambi ameongoza kwa kupata kura 193, na alifungana na Rose Rwakatare aliyepata kura 193.
Pia katika uchaguzi huo Acrey Mhenga alipata kura 124 na Jane Mihanji amepata kura 14.
Niko kwenye site. Nakuhakikishia hakuna namna huyu jamaa angepata hizo kura kwa nguvu zake. Ni maagizo kutoka juu na yamesimamiwa kilivyo. Una habari Makonda alitaka kugombea kupitia hili jimbo lakini akakwama kutokana na nguvu isiyoonekana ya huyu jamaa? Usione vyaelea ndugu vimeundwa. Hizi ni info za ndani nakupa na siyo speculations
Wewe tunamfahamu huyu ni mpwa mwìngine wa jiwe
Hata akifichwa vp tunamfahamu ni mtoto wa dada wa yesu wa Chato
Maelekezo from above full
Halima beware mpwa huyo
Njoo tena utetee ugali wakoImekuaje kakatwa?? Nyie jamaa ni wajinga sana
Akirudi nistueNjoo tena utetee ugali wako
... UncleKijana wa Pombe huyoo
Daah huyu mtu ndiye alikuwa wa kwanza kumuanika humu bila kupepesaNi mtoto wa dada yake Magufuli na alikuwa pale Bandarini kama mbea wa Rais.