Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
- Thread starter
- #21
Inshu hakuna utekelezaji wa sheria hii.mwaka 2012-14 ilikua ni miongoni mwa miaka mibaya sana Arusha, vijana wengi walikamatwa kwa kuhisiwa ni magaidi na mmoja ninae mfahamu aliuwawa kwa kupigwa risasi wakisema alijaribu kutoroka akiwa anatoka mahakamani kurudishwa mahabusu gerezani
jamaa alikua mtu poa sana alikua ni brother kitaa nafikiri kupenda kwake mazoezi ilimfanya watu waende kutoa taarifa za uongo /za hisia ya ugaidi
Sheria inasema mtuhumiwa asiteswe huku mtuhumiwa anateswa vibaya sana kisa tu aseme ukweli inafikia hatua mtuhumiwa anapata ukilema au kupoteza maisha kabisa.
Kuna watu ndugu zao kibao wamesusa kuchukua maiti kwa wahusika