Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

Tukija fika level ya FBI na watu wakawa dedicated na kazi zao bila kujali Imani tutakuja pata ukweli.hadharani na haya matukio yataisha Kabisa...Ila hii style ya polisi kila Kanisa likilipuliwa wanakamata masheikh Tu kisa wanongea Kwa ukali misikitini...haya mambo hayataisha
Sure, sasa sijui nia yao nini hao wanaojichomea makanisa yao?
 
Kujenga image kuwa Viongozi wa dini ya Kiislam ni violent wawe watu wa kupuuzwa...as wao waonekane watu wa amani wasio taka vurugu...ndo maana baada ya hii milipuko la kwanza ni Kwa Viongozi wa makanisa kusema "wameshasamehe wahusika"...
Na hufanya wakati kiongozi wa kiislam yupo madarakani ...kama njia ya kumdhibiti akipishana nao chochote aonekane na yeye ndo wale wale "siasa Kali"..
 
Tukija fika level ya FBI na watu wakawa dedicated na kazi zao bila kujali Imani tutakuja pata ukweli.hadharani na haya matukio yataisha Kabisa...Ila hii style ya polisi kila Kanisa likilipuliwa wanakamata masheikh Tu kisa wanongea Kwa ukali misikitini...haya mambo hayataisha
Hauko Sahihi mkuu hapa juzi kuna kanisa Chato lilivunjwa na kuharibiwa hakuna muislam yoyote aliyekamatwa
 
Kujenga image kuwa Viongozi wa dini ya Kiislam ni violent wawe watu wa kupuuzwa...as wao waonekane watu wa amani wasio taka vurugu...ndo maana baada ya hii milipuko la kwanza ni Kwa Viongozi wa makanisa kusema "wameshasamehe wahusika"...
Na hufanya wakati kiongozi wa kiislam yupo madarakani ...kama njia ya kumdhibiti akipishana nao chochote aonekane na yeye ndo wale wale "siasa Kali"..
Aaanhaaa kumbe ni watu waovu sana hawa
 
Aaanhaaa kumbe ni watu waovu sana hawa
Kwani hujui history ya makanisa?

Ingia Google unaweza ambulia...
Lakini Kwa ufupi Roman empire ilitumia dini kutawala watu ...ndo mataifa ya wajanja yalipoanza kujanjaruka yakaanzisha madhehebu Yao ili kukataa kutawaliwa na Rome..
Waingereza wakaanzisha English church...na Mfalme ndo mkuu wa Kanisa (Anglo church aka Anglican church) Kanisa Hilo exclusive Kwa waingereza.... wajerumani wakahamia Lutheran kujitenga na utawala wa Rome... Wamarekani nao Wana makanisa yao ya protestants....protestants manake waliogoma kutawaliwa na Rome ..waliojitenga na Rome wakagomea ndo wakaitwa pretestants...maana wali protest madaraka ya Pope kwao...
Na Wamarekani walipiga vita Sana kuongozwa na wakatoliki Kwa kuhofia watakuwa chini ya Pope.... Kennedy aliekuja kuwa first Catholic president alifanya campaign kubwa Sana kujitetea hata iweka nchi chini ya Pope na ikabidi aibe Kura akishirikiana na Italian mafia..ndo ashinde.....
Jiulize Jambo moja kama wayahudi waalikuwa wanabaguliwa Hadi kuuwawa inakuwaje waweke sanamu la Yesu ambae ni Mzungu blonde mwenye macho ya blue?
Wazungu blonde wenye macho ya blue hawabaguliwi popote pale ...
Why hawakuweka sanamu ya Yesu mwenye nywele na rangi za kiyahudi?? Simply sanamu la Mzungu linataka watu hasa weusi na wengine 'waabudu " mzungu...
Majority ya Viongozi wa makanisa ni atheists na sio believer wa Christ...dini wanatumia kama chombo cha kutawala watu...
 
Dah na kweli bro,hawa jamaa wametuweza...unakuta maafrika kama kondoo tu yanamuabudu mzungu,yanaweka picha zake ukutani na kumsujudia... kweli ukoloni wa fikra ni mbaya sana.
Na hiyo ishakuwa psychological in such a way hata mwafrika akiona mzungu maskini bado anamtetemekea tu.
 
Ni kuwa makini Sana , Arusha ilikuwa haikaliki ni mabomu tu, walivyo kamatwa hali ikawa shwari mpaka Leo,
 
Ila pia upo ukweli mwingine kwamba kutokukutwa na hatia mahakamani hakumaanishi kwamba mtu huyo lazima hakutenda kosa husika.
Every one is innocent until proven guilt by the court of law.
Wanasheria wanasema, ni bora umuachie mhalifu kuliko kumuadhibu/ kumfunga mtu asiye na hatia.
 
Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023).

View attachment 2660266

Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika.

Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa tuhuma ya kesi za ugaidi sasa wameachiwa huru kabisa.

Nashukuru kwanza kwa jamaa kuachiwa ila bado nabaki na maswali maana kesi au matatizo yanamkuta mtu yoyote yule.

Wapo ambao sio watumia bangi lakini washawahi kukamatwa na kukutwa na kesi za bangi. Maswali ninayojiuliza mda huu;
1. Huyu mtu aliyefungwa miaka 9 akifika nyumbani kwake anaanza vipi kutengeneza uhusiana wake na mtoto wake (Kwa sababu malezi yanahitaji wazazi wawili). Mtoto anamtafsiri vipi baba yake ?

2. Huyu mtu kabla ya tuhuma labda alikuwa na biashara zake atajisikia vipi akifika nyumbani akikuta hakuna kitu kabisa (kuanza mmoja)?

3. Vipi mkewe kipenzi aliyemuacha miaka 9 nyuma bado anamsubiri yeye tu arudi maisha yaendelee au kashaolewa na mwanaume mwengine?

4. Serikali unamuacha acha vipi huyu mtu ambaye ana hatia wanamuachia kwa kauli yupo huru tu au kuna chochote kitu anapewa kimsogeze kimaisha?

Tujadilini kwa pamoja.
Hawa watu kama wasingekamatwa na kuswekwa ndani pengine leo hii Tanzania ingekuwa ni uwanja wa kujidai wa AlShabab. Kati ya 2012-14 kulikuwa na matukio mengi ya kuchoma makanisa, kushambulia au kuua mapadri. Lakini baada ya kukamatwa hao ndugu ulisikia tena vitendo hivyo?

Jiulize kwa nini hukukamatwa wewe na walikamatwa wao?
 
Brother we Acha tu hapo kwenye picha kuna rafiki yangu aise. Jamaa alikuwa mtu wa imani sana kuna wakati nadhani alikuwa anaswalisha msikiti wa kilombero sokoni, Arusha.. na alikuwa mfanyakazi wa serikali. Bora kwenda ulaya ukaacha familia Tz maana wanajuwa utarudi lakini sio kwenda jela, unarudi unakuta mkeo kazalishwa na jamaa yako aliyekuwa anapeleka unga na ada ya watoto. Mbaya zaidi unakuta mkeo kanenepa na kawa mweupe pee na elimu kajiendeleza na kiingereza anaongea. Haya maisha tumuombe sana Mungu atupe mwisho mwema
🤲🤲🤲🤲🤲
 
Bunge ikiwezekana litunge sheria ya fidia kwa watuhumiwa wanaosingiziwa au kubambikiwa kesi na kupotezewa muda kwa kukaa jela bila ushahidi wo wote!
Hii itaepusha askari kukurupuka kumkamta mtu au kumsingizia mtu asiyemhusika wa kesi isiyomhusu.
 
Waislamu lazima mjitafakari.
Ni kwanini mnawafuga Magaidi ?

Kibiti
Mkuranga
Kilwa
Tanga
Zanzibar
Ni kambi za Magaidi wa Kiislamu na mnawalea kimya kimya bila kutoa taarifa kwa Serikali.

Magaidi wanaanza kuua watu bila hatia mpo kimya tu.
Hadi Serikali ianze kuwatafuta na mnawaficha sana.

Shida yenu ninini?

Huyo kijana huenda alikuwa Gaidi kweli. Wewe unajuaje kuwa hakuwa Gaidi
Mbona Hamza alikuwa gaidi na hakustukiwa hadi alipoanza kuua Polisi bila sababu na alikuwa Mwislamu pia.
Waislamu mna matatizo ya kisaikolojia.
Mnataka kusimika Islamic State bila kuangalia maslahi ya Dini nyingine.

Ndio maana sehemu nyingi za Waislamu zinakumbwa na vurugu na Ugaidi mwingi.
Mkiwa peke yenu ni vurugu. Mkichanganyika na wasio Waislamu ni vurugu.

Acheni mentality za Ugaidi enyi Waislamu.
Mnaitia aibu jamii yenu.

Huyo Allah kama anawapenda Waislamu tu. ni kwanini aliumba watu wasio kuwa Waislamu ?
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Hiyo sheria ya ugaidi ni miongoni mwa sheria ovu.. ililenga kuua uislamu...
Mauaji aliyofanya Mackenzie pale Kenya angekuwa amefanya shekh yqngetambuliwa na Dunia nzima km ugaidi.
Unaona eeeee!
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Shida ni kwamba mkiacha ugaidi mtakuwa mmempinga Muhammad muanjilishi wa ugaidi

Muhammad akijitapa anashinda kwa kutumia ugaidi

Muhammad said;
I have been given superiority over the other prophets in six respects: I have been given words which are concise but comprehensive in meaning; I have been helped by terror (in the hearts of enemies):......Sahih Muslim 523a
 
Hii ni hatari na nusu nadhan katika nchi yetu hakuna utekelezaji wa sheria sana sana kwenye kumlinda mtuhumiwa.

Sheria inasema mtuhumiwa asipigwe lakini huku anapigwa inapelekea wengine wanapata vilema na wengine kufa kabisa.

Zipo kesi nyingi sna za ndugu wa watuhumiwa kususa kuchukua miili ya ndugu zao kwa wahusika
Sasa jitu gaidi asipigwe vp?
 
M
Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023).

View attachment 2660266

Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika.

Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa tuhuma ya kesi za ugaidi sasa wameachiwa huru kabisa.

Nashukuru kwanza kwa jamaa kuachiwa ila bado nabaki na maswali maana kesi au matatizo yanamkuta mtu yoyote yule.

Wapo ambao sio watumia bangi lakini washawahi kukamatwa na kukutwa na kesi za bangi. Maswali ninayojiuliza mda huu;
1. Huyu mtu aliyefungwa miaka 9 akifika nyumbani kwake anaanza vipi kutengeneza uhusiana wake na mtoto wake (Kwa sababu malezi yanahitaji wazazi wawili). Mtoto anamtafsiri vipi baba yake ?

2. Huyu mtu kabla ya tuhuma labda alikuwa na biashara zake atajisikia vipi akifika nyumbani akikuta hakuna kitu kabisa (kuanza mmoja)?

3. Vipi mkewe kipenzi aliyemuacha miaka 9 nyuma bado anamsubiri yeye tu arudi maisha yaendelee au kashaolewa na mwanaume mwengine?

4. Serikali unamuacha acha vipi huyu mtu ambaye ana hatia wanamuachia kwa kauli yupo huru tu au kuna chochote kitu anapewa kimsogeze kimaisha?

Tujadilini kwa pamoja.
Kuu..
"mtu ana hatia" au "hana hatia"?
Maneno haya "ana" na "hana" naona mara nyingi kutumiwa maeneo yasiyo sahihi!
 
Daaah afadhali unisaidie kidogo maana yananichanganya sana ana na hana vinatumika vipi.

Na kingine kwenye ukanushi wa jamb natakiwa nianze na herufi ipi kati ya " a " au "h"

Mfano : ipi sahihi HAKUJUA / AKUJUA

Bandika "h" kukanusha.
Pale neno sahihi ni: "hakujua".
 
Back
Top Bottom