Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

Inshu hakuna utekelezaji wa sheria hii.

Sheria inasema mtuhumiwa asiteswe huku mtuhumiwa anateswa vibaya sana kisa tu aseme ukweli inafikia hatua mtuhumiwa anapata ukilema au kupoteza maisha kabisa.

Kuna watu ndugu zao kibao wamesusa kuchukua maiti kwa wahusika
 
Hao majaa walioachiwa ni hatari kwa ambao hamuwajui walisambaa nchi nzima walikuwepo tanga arusha zanzbar bagamoyo.... kikwete alishtuka too late hela zao walikuwa wanatoa kuwait...

Hadi kikwete kuwafunga aliona mengi narudia mengi mno

Hawa wanaachiwa serikali iwe makini nao sana watu wa usalama wa wajua vizuri sana hao watu. Mama samia akiendelea kucheza nao atashangaa
 


Hii ni hatari na nusu nadhan katika nchi yetu hakuna utekelezaji wa sheria sana sana kwenye kumlinda mtuhumiwa.

Sheria inasema mtuhumiwa asipigwe lakini huku anapigwa inapelekea wengine wanapata vilema na wengine kufa kabisa.

Zipo kesi nyingi sna za ndugu wa watuhumiwa kususa kuchukua miili ya ndugu zao kwa wahusika
 

Kama mahakama imemuachia mtuhumiwa maana yake inashajilisha mtu ana kosa.

Inshu ya mtu kuachiwa haipo chini ya mama samia kabisa.

Muhimili wa mahakama ndo umefanya maamuzi ya kuwaachia.

Jambo ninaloliona ni la hatari kwa upande wangu kuwa unamuchia vipi mtu wakati hana kitu ( umefilisi mali na fikra kwa miaka 9 ).

**** hatari wanaweza wakasave chuki moyoni wakaona acha wafanye kweli sasa.

Example: GODOGODO WA NIGERIA
 
Hamna bana. The enemy of islam are muslims themselves. Muslims like to hate and kill each othres.

UNABISHA?

CARDLESS
Hilo naweza nikakubaliana na wewe maana adui wa mtu ni mtu.

Lakini nikija kwenye uhalisia siwezi nikasema adui wa muislam aliyeenda gerezan alikuwa ni muislam coz sijui inshu nzima ilikuwaje mpaka jamaa wakakamatwa
 
Ndio maana wengi wanafanya matukio ili warudi tena gerezani mtaani mambo magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipingani na wewe kuwa wanaishi kiimani sana lakini dakika ya mwisho na wao ni binadamu kama binadamu wengine.

Hawa watu wasipowezeshwa na kuwekwa sawa kisaikolojia wanaweza kupiga tukio la kweli kama la mwanzo lilikuwa ni tuhuma hewa tu
What really happened? Maana kukaa miaka yote hiyo, either utatoka na kuwa mtu mwema na mcha Mungu sana, au mtu wa hovyo kupindukia. Inategemea sana na nini kilijaza akili za mtu kwa miaka yote hiyo
 
Inabidi afungue kesi ya kudai fidia ambapo atatakiwa kuthibitisha mapato yake kwa mwezi yalikuwa Tsh ngapi.
Akishindwa kuthibitisha basi serikali itatakiwa kumlipa kima cha chini cha mshahara ambacho nadhani kwa sasa ni Tsh 370K kwa miezi yote aliyokaa ndani plus severence pay, kiasi ambacho hakimu ataamua kama atakavyo ona inafaa.
Mfano hakimu anaweza akampa severence pay ya Tsh milioni sitini na tano ili kumfidia kwa nguvu alizopoteza kifungoni ambazo zingemuwezesha kujenga nyumba ya Tsh mil 50 na kununua chombo cha usafiri chenye thamani ya Tsh milioni 15.
In total, kwa hesabu za haraka mtu wa aina hii atatakiwa alipwe jumla ya Tsh milioni 110 au viwango vingine vitakavyo amuliwa na mahakama endapo atashinda kesi.
 
Pole sana watuhumiwa wako huru sasa warejee uraiani.....mengine watashauriana wakili wao......wachangiwe mitaji japo wapate 5mil waanze upya
 
Kuna mdogo wake na rafik angu mtaa mmoja.....

Akiwa kidato Cha pili Ali opt kuacha shule secondary na kusema ELIMU Dunia ni ubatili alijikita kwenye dini yake ya ki islamu.......

Brother Ake ndie alinipokea A_Level Kwao wapo humble sana niseme ni watu wema sanaa...

Kuna kipindi Cha matukio ya kibiti dogo Ali uwawa Kwa risasi Kwa kile kilicho daiwa ni magaidi ya kibiti..................

Kwanza dogo alikua ni below 24 mshikadini sana mwisilamu wa swala 5
Mnyenyekevu na mtiifu sana mtu wa maadili na Nidhamu sana yeye na hata familia nzima.....

Duru za interegencia za police zinaeleza dogo alikua ni kiungo muhimu sanaaa kwenye mauaji ya kibiti......

Hakuna mtu Alie amini inasemwa dogo alipo banwa akaonyeshe hifadhi Yao alipo fika eneo alionyesha codes za kimedani kuwasanua ndipo mirimdimo ya marisasi ikatokea
 
Waanze upya tu mbona baba yangu mdogo alianza upya na mke mpya kila kitu kipya sasa hi ni kama miaka 18 tangu atoke anamiliki vitu vya maana almost kila kitu kwa sasa anacho pesa ipo anaheshimika kila sehemu. Akifika sehemu hata kama viti vimeisha watu wanaangaika apate special seat eg kwenye masherehe.

Waanze upya la muhimu wana afya.
 
Yaani dah, nikijaribu kuvaa hiko kiatu mpaka natetemeka.
Ifikie kipindi serikali iwajibike kwa DEMAGE inayokuwa imetokea kwa watu wasiokutwa na hatia.
 
Mkuu na ukweli ni huu makanisa yalichomwa moto na wale mapadri waliowauwa Zanzibar.
 
Don't take it easy because your uncle made it. Inaumiza sana psychologically
 
Brother we Acha tu hapo kwenye picha kuna rafiki yangu aise. Jamaa alikuwa mtu wa imani sana kuna wakati nadhani alikuwa anaswalisha msikiti wa kilombero sokoni, Arusha.. na alikuwa mfanyakazi wa serikali. Bora kwenda ulaya ukaacha familia Tz maana wanajuwa utarudi lakini sio kwenda jela, unarudi unakuta mkeo kazalishwa na jamaa yako aliyekuwa anapeleka unga na ada ya watoto. Mbaya zaidi unakuta mkeo kanenepa na kawa mweupe pee na elimu kajiendeleza na kiingereza anaongea. Haya maisha tumuombe sana Mungu atupe mwisho mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…