Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

Alaaniwe k
Ikwete na shein mie ni muislamu ila hao wapumbavu walaaniwe
 
Vp mum
E wenu mackezie angekuwa muislamu je?
 
Kila ubaya utakaomtendea mwenzako, kumbuka utalipwa hapahapa duniani
 
Ni jambo la kushukuru Mungu wametoka hayo mengine yataeleweka mbele kwa mbele ,kuna wengine wamepigwa life sentence bila hatia
 
4. Serikali unamuacha acha vipi huyu mtu ambaye ana hatia wanamuachia kwa kauli yupo huru tu au kuna chochote kitu anapewa kimsogeze kimaisha? Wewe nani amekuambia huyo mtu ana hatia? Mahakama haikuwahi kuwaona wana hatia.
 
Kuwakamata na kuwapa kesi ya ugaidi ni kitendo cha kigaidi pia

Inajulikana walikamatwa miaka 9 iliyopita na aliyekuwepo madarakani aliweza kutathmini kama kweli wana makosa au wamebambikizwa tu.

Kesi ya Mbowe ilionekana ya kubumba tangu awali na sasa aliachiwa kwa Nole Prosecution ambapo mwenye mamlaka ya juu dhidi ya DPP ni incumbet pekee.

Tuwaombee hawa wazee walioachiwa wapate rehema za Mungu. Kila mwenye nia njema anaweza kuona utaratibu wa kiwasaidia kuanza upya maisha baada ya kutiliwa nuksi na serikali yao wenyewe
 
Biashara zitakuwa hazipo tena.

Watoto huwa flexible hawana shida, baba ni baba tu.

Mke atakuwa aliishaolewa zamani. Wenzetu siyo wapamnanaji, wamezoea kutunzwa
 
Walifungwa na mahakama mkuu.

Kiongozi mkuu wa serikali hana mamlaka ya kuiingilia mahakama
Hawajawahi kufungwa walishikiliwa mahabusu bila kushtakiwa kwa miaka 8 toka 2014 hadi 2022 ndiyo wakafunguliwa mashtaka hata hivyo serikali ilishindwa kuthibitisha tuhuma zao ndiyo mahakama ikawaachia huru.
 
Dah namuona abdul hapo na sheikh jafar Lema(imam wa msjid quba wakati huo)

Jafar Lema anatoka hamkuti tena baba ake sheikh Hashim Lema ambaye alipambana mno hadi mauti yake kumnusuru kijana wake na gereza.
 
What really happened? Maana kukaa miaka yote hiyo, either utatoka na kuwa mtu mwema na mcha Mungu sana, au mtu wa hovyo kupindukia. Inategemea sana na nini kilijaza akili za mtu kwa miaka yote hiyo
Lakini hapo chenye asilimia kubwa kutengenezeka ni mtu wa ovyo coz mazingira ya magereza hayamtenemgezi mfungwa kuwa mtu mwema bali mfungwa anaonekana kama mtu asiyefaa kabisa
 
Kweli kabisa anatakiwa kudai fidia lakini kesi ya fidia mkuu unachukua mda mrefu sana huyu mtu katoka gerezani juzi tu anapata wapi pesa ya kumlipa wakili.

Na upande wengine ukidai fidia leo hii basi utachukua mda mref sana.

Eg: marehem babu yang alikuwa anapiga kazi kwenye EAC iliyojinjika 1977 . Fidia ilitoka mwaka 1979 lakini babu fidia kaipata 2015 ... Sasa just imagine 1977 alikuwa na miaka 56 mpaka 2015 atakuwa na miaka mingapi

Mfumo wenyewe binafsi ulitakiwa kumlinda raia.
 
Kuanza upya sio tatizo.

Lakini pia usimfananishe ndugu yako na mtu mwengine.

Coz inawezekana ndugu yako alishikwa mkono na familia. Kuna watu hawana watu wa kuwashika mikono.

Kabla ya kukamatwa inawezakana wao ndo walikuwa wanahudumia familia zao.
 

Naandika hapa kama kumbukumbu utakuja kukumbuka...
Wanaofanya huu mchezo WA kulipua makanisa ili waislam Wengi wakamatwe watafanya tena....
Hiyo script huwa ina kawaida ya kujirudia...kila mara hasa Rais akiwa muislam ...ni set up..
Ingekuwa nchi zenye advanced investigation wangekamatwa na tungeshangaa dini zao halisi ..
 
Kiufup ili aya matukio yafe kwanza inatakiwa kuua iki kitu cha kuchanganya " DINI NA SIASA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…