FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo.
Kila la heri.
Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi wako? Wamebana huku wanafungua kwingine. Wameshaona wanaoenda kwa style ya visitor wengi wanaelemea kazi za aina fulani na sasa wameamua kufungua milango specific kwa makundi ya watu wenye fani wanazozitaka.
Hawa mambo yao mengi huwa well calculated.

Mbona language proficiency wanahitaji french
Isome vizuri mkuu, hiyo ni kati ya unavyotakiwa kuchagua.
Pia, kama interest yako ni kwenda kufanya kazi Quebec, hapo French ni lazima iwe inapanda, maana hiyo ndiyo official language kule.
Mara nyingi Wakongo, Warundi, Rwanda na other French Speaking countries ndiyo hupenda kwenda kule
 
Mkuu nimeona ila hata Kwa kiingereza wameweka lazima uoneshe English language proficiency certificate iwe valid Kwa miaka miwili nadhani hapo ndio kimbembe kwingine kote ni rahisi
 
Hii hapa
Screenshot_20230812-102610.jpg
 
Mkuu nimeona ila hata Kwa kiingereza wameweka lazima uoneshe English language proficiency certificate iwe valid Kwa miaka miwili nadhani hapo ndio kimbembe kwingine kote ni rahisi
Upo sahihi mkuu. Nili share link tofauti
Have it here
 
Isome vizuri mkuu, hiyo ni kati ya unavyotakiwa kuchagua.
Pia, kama interest yako ni kwenda kufanya kazi Quebec, hapo French ni lazima iwe inapanda, maana hiyo ndiyo official language kule.
Mara nyingi Wakongo, Warundi, Rwanda na other French Speaking countries ndiyo hupenda kwenda kule
Tuwaite wale waliosema tuachane na lugha za kigeni na tukomae na Kiswahili.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo.
Kila la heri.
Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi wako? Wamebana huku wanafungua kwingine. Wameshaona wanaoenda kwa style ya visitor wengi wanaelemea kazi za aina fulani na sasa wameamua kufungua milango specific kwa makundi ya watu wenye fani wanazozitaka.
Hawa mambo yao mengi huwa well calculated.

Kitu cha muhimu ni kuwasiliana na Ubalozi wa kanada uliokaribu nawe. Wao ndio watakupa majibu sahihi na mahususi kwa nchi yako na aina hiyo ya Visa.
 
halafu vijana Tanzania waseme hakuna kazi, ila kazi ni popote duniani vigezo tu- lugha na uzoefu. Vijana changamkieni fursa ulimwenguni huko kuliko kusema hakuna Kazi Tanzania, Tanzania/Canada ni sehemu ya Ulimwengu pia. Nendeni mchume na mlete, kazi kwenu.
 
Cha muhimu ni kupeana taarifa fursa zinavyojitokeza na ku share reliable source ya taarifa. Akifuata hiyo link anakua moja kwa moja yupo kwa wahusika na maelezo yote yapo huko, no third party.

Au wewe hupendi hizi taarifa ziwe shared mkuu?
Kenya wamendika "Canada yatoa nafasi za kazi kwa plumbers, welders na carpenters wa Kenya".

India wameandika, "Canada yatoa nafasi za kazi kwa plumbers, welders na carpenters wa India."

Nigeria wameandika, "Canada yatoa nafasi za kazi kwa plumbers, welders na carpenters wa Kenya".

Sisi tusubiri ubalozi ututangazie?
 
Ndio Tatizo la vijana wetu, yaani kila kitu ni spoon feeding- " tusubiri tutangaziwe na ubalozi" kama vile hatuna masikio, macho wala pua... bila kutafuta fursa au kutengeneza fursa, ajira bado zitakuwa changamoto.
 
Nchi nyingine wanasambaziana hii taarifa, tena hawasemi tu "Canada watoa nafasi za kazi" , wana own kabisa hilo tangazo na kuandika "Canada yatoa nafasi za kazi kwa wakenya, India Nigeria n.k"
 
Sio kila visa ya nchi fulani inatolewa kwa nchi zote, nyingi zinabagua. Kupata ukweli halisi wa aina fulani ya Visa contact na Ubalozi wa nchi husika uliokaribu na wewe.
 
Nchi nyingine wanasambaziana hii taarifa, tena hawasemi tu "Canada watoa nafasi za kazi" , wana own kabisa hilo tangazo na kuandika "Canada yatoa nafasi za kazi kwa wakenya, India Nigeria n.k"
Hakuna sehemu yoyote kwenye article ilipoandika kuwa kanada imetoa nafasi za kazi.

Iyo ni clickbait kwa media uchwara za nchi masikini kama Tanzania.
 
Cha muhimu ni kupeana taarifa fursa zinavyojitokeza na ku share reliable source ya taarifa. Akifuata hiyo link anakua moja kwa moja yupo kwa wahusika na maelezo yote yapo huko, no third party.

Au wewe hupendi hizi taarifa ziwe shared mkuu?
Kenya wamendika "Canada yatoa nafasi za kazi kwa plumbers, welders na carpenters wa Kenya".

India wameandika, "Canada yatoa nafasi za kazi kwa plumbers, welders na carpenters wa India."

Nigeria wameandika, "Canada yatoa nafasi za kazi kwa plumbers, welders na carpenters wa Kenya".

Sisi tusubiri ubalozi ututangazie?
Kama ubalozi wa kanada nchini Tanzania hautoi iyo aina ya Visa ( visa kwa sababu hiyo) unadhani ni wapi pengine utaipata.
 
Hakuna sehemu yoyote kwenye article ilipoandika kuwa kanada imetoa nafasi za kazi.

Iyo ni clickbait kwa media uchwara za nchi masikini kama Tanzania.
Sawa tafsiri unavyoweza. Kwani nafasi za kazi huwa zinatangazwaje? Si huwa wanasema ni visa kwa ajili ya X,Y,Z? Au ulitaka kampuni fulani ya Canada ndiyo itangaze hizo nafasi?

Miezi kadhaa iliyopita New Zealand walitangaza kutoa Work Visa kwa kazi walizozitaja. Mtu alitakiwa aombe visa, akifanikiwa anaingizwa kwenye Database na yale makampuni yaliyopo New Zealand hayatatakiwa kutangaza nafasi za kazi bali yatawachukua wale waliopo kwenye Database. Watu waliomba na kuna wanaoondoka this August wengine October.

Natumia nguvu za bure kukuelewesha maana najua tayari wewe upo Dodoma kwenye block farming hivyo mambo yako ni tambarare tu
 
halafu vijana Tanzania waseme hakuna kazi, ila kazi ni popote duniani vigezo tu- lugha na uzoefu. Vijana changamkieni fursa ulimwenguni huko kuliko kusema hakuna Kazi Tanzania, Tanzania/Canada ni sehemu ya Ulimwengu pia. Nendeni mchume na mlete, kazi kwenu.
tatizo soon vijana wa kitanzania, tatizo ni mazingira yetu mtu kupata passport vikwazo kibao wakati passport ni haki ya kila mtu ambaye ni raia wa Tanzania.
 
Sasa hapa lugha itakuwa kikwazo kikubwa maanake kuna watu wamekuwa wakitaka eti kiswahili ndicho kitumike kama lugha ya kufundishia kwa ngazi zote za elimu.

Nafikiri na wenyewe watakuwa wamelisikia hili tangazo. Wao wanakipigia kiswahili debe ili wafanye tafsiri ya vitabu toka kiingereza kwenda kiswahili ili wapige hela ndefu, ni swala la maslahi tu na wala hamna kitu kingine.

Ni ukweli ulio wazi kwamba vijana wengi wanaofanya hizo shughuli hawazimudu hizo lugha hivyo kwa mantiki hiyo hawana sifa ya kwenda Canada hivyo watabaki hapa hapa waendelee kukimbizana na mwenge.
 
Back
Top Bottom