PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo.
Kila la heri.
Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi wako? Wamebana huku wanafungua kwingine. Wameshaona wanaoenda kwa style ya visitor wengi wanaelemea kazi za aina fulani na sasa wameamua kufungua milango specific kwa makundi ya watu wenye fani wanazozitaka.
Hawa mambo yao mengi huwa well calculated.
www.canada.ca

Canada announces the first-ever Express Entry invitations for newcomers with experience in the trades
Canada’s Express Entry system is now tailored to provide a streamlined and efficient pathway for individuals with expertise in critical fields. By prioritizing the invitation of skilled newcomers with experience in the trades, Canada aims to meet the increasing demand for talent and fill key...