Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wale WA barabarani sinza/kinondonjBinafsi me ni msomi na Kwa Sasa nimejiajiri katika kilimo.
Kama kawaida kilimo Kuna kipindi tunapata Kuna kipindi hali inakuwa mbaya mno
Kuna fursa au taaluma zinalipa Kwa vijana, Ile kijana kusomea kupasua miamba, sijui doctor wa ubongo, sijui ualimu wa physics umalize ukose kazi au ulipwe laki 5 huo ni upumbavu
Baadhi ya fursa
1. Upishi/ chef
Hawa wapishi unaweza kijiajiri au kuajiriwa na ukapiga pesa ambayo hata polisi, mwalimu, doctor, mhasibu hawezi pata
Wapishi wanaofanya caterings wanalipwa mkwanja ukiambiwa hutakubali
Akihudumia harusi, majibu, au tukio malipo ni million 10+
Kuna watu wanafanya bakery 🥯 🧁 wanapiga hela, hata walimu wanaotoa tamko wanaipata siku 1
Jitahidi kumiliki hata bakery ndogo tu mtaani, ukiuza mikate 100 , keki, mandazi ni pesa ndefu
Kuna chefs wameajiriwa Zanzibar na Migodini na mahoteli makubwa wanalipwa million 10 ambayo hakuna mtumishi wa umma anapata
2. Mapambo
Hawa wapambaji wanapiga pesa ndefu
Hapa kikubwa uwe na vifaa vyote
Uzuri wa mapambo shughuliza harusi, misiba, mikutano n.k Huwa haziishi
3 mechanics/ garage
Hapa ni ufundi na uaminifu
Vyombo vya moto kama magari na pikipiki ni nyingi na Zina magonjwa yasiyoisha
Ukijitega vizuri ukawa fundi mzuri na ukawa na duka la spear utapiga pesa wakukimbie hata mtumishi wa umma hawezi pata pamoja na kuchomokea mashati na kuweka pen mfuko wa shati
4. Urembo wa magari
Hawa watu wa stika, taa, rangi na seat covers wanapiga pesa kirahisi mno
5. Ufundi simu
Kuna dogo langu yupo kariakoo ni fundi simu alinipa code kuwa Kwa siku ana uweZo Kwa kukunja 200k na hiyo ni uhakika.
Akiuzwa vio, betri na k solve matatizo madogo ya simu
Kama mtaji upo kuagiza simu Zanzibar na kuuza uku unapiga pesa ndefu
6 MC wa harusi
Hapa inahitaji kipaji na kupiga Domo haswaa, ukiwezea utapiga pesa hadi wakuroge
7. Usafirishaji
Hapa kupiga bolt au Uber
Kuna jamaa angu alinunua Raum yake million 8 alinambia kuwa anapata si chini ya laki 2 Kwa siku, hapa tatizo ni gari kupata magonjwa na Huwa inachukua pesa
Jaribu kununua gari zima utapiga pesa hadi ushangae
Sijagusia bajaji na bodaboda
Usafiri Kwa Sasa ni hitaji la muhimu sana
8 ulinzi
Kama una uweZo wa kumiliki kampuni ya ulinzi
Watu wanahitaji usalama, hapa utapiga pesa
9.Ushonaji
Hapa ukiwa fundi mkubwa na ukawa na vitambaa, utapiga pesa sana
Kuna marafiki zangu huko Dar es salaam ni mafundi wa cherehani lakini wanapiga pesa ambayo watumishi wa umma na mikopo Yao hawawafikii
10. Biashara ya mazao/nafaka
Mazao hayaozi kama matunda
Yanapanda bei Toka mavuno
Hapa ni msuli wa kuhifadhi tu
Vile vile Biashara ya viazi vya Chips
Kuna mchizi wangu nilisoma nae pale SAUT ndo harakati zake
Yeye Huwa anafuata mzigo huko Mbeya na anapeleka Dar alinambia kuwa hii biashara haijawahi kumtupa yaani akifikisha mzigo sokoni hatumii madalali Bali watu wanakimbilia wenyewe
Wale wasomi wenzangu tuweke vyeti pembeni tukomae na mtaa
Wale walimu wasio na ajira wanaoandamana ili kupata kazi ya kulipwa laki 5
Fursa hizo nimepeni bure
vp upo home ngara au darSina pesa tajiri
Tunza mwezi wa 4 watafika bei
mzgo wako wa mahindi haujaupiga noti kakaSina pesa tajiri
Tunza mwezi wa 4 watafika bei
Ingia ground uone motoBiashara zote nzuri ukihadithiwa.
hata huku jua kali sanaNipo Kabanga Ngara
Jua kali, ngoja lipoe tupande maharage
kwahiyo utafanyaje apoBado upo bei ndogo kk
basi vizuri,huko ngara huwa nakuja ila huwa naishia rulengeNimeyafungia store
Acha usenge-nyaji tabia mbaya everything is "posibo"Biashara zote nzuri ukihadithiwa.