Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Kwasasa upo wapi mkuuTuko pamoja mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasasa upo wapi mkuuTuko pamoja mkuu
Kama hauna uwezo wa kumiliki kampuni.. kuwa mlinzi halali alafu ichomee kampuni kwa mteja abakiwe na alarm system alafu wewe uwe koro wake ila hakikisha mteja anakukubali sana na upoteyari kufa kiakili wakati wowote hupaswi kuogopa kifo amini kifo ni kulala kama tunavyolala tuu . Ile hela mteja anaipa kampuni ya ulinzi ipunguze kidogo akupe wewe kama 700k hivi alafu tafuta shift moja ukae kama anataka wa usiku kaa usiku kama ni wa mchana kaa mchana kula 700 yako polepole8 ulinzi
Kama una uweZo wa kumiliki kampuni ya ulinzi
Watu wanahitaji usalama, hapa utapiga pesa
Asante mkuu umetuongezea kituKama hauna uwezo wa kumiliki kampuni.. kuwa mlinzi halali alafu ichomee kampuni kwa mteja abakiwe na alarm system alafu wewe uwe koro wake ila hakikisha mteja anakukubali sana na upoteyari kufa kiakili wakati wowote hupaswi kuogopa kifo amini kifo ni kulala kama tunavyolala tuu . Ile hela mteja anaipa kampuni ya ulinzi ipunguze kidogo akupe wewe kama 700k hivi alafu tafuta shift moja ukae kama anataka wa usiku kaa usiku kama ni wa mchana kaa mchana kula 700 yako polepole
Ukitoka hapo nenda kawe private security mahali pengine kwa shift nyingine kula tena 700k. Mwisho wa mwezi unakua na 1.4M. Alafu waache watu wakutukane mtaani kuwa wewe ni mlinzi
--- kama anataka zaidi ya askari mmoja hapo unatumia akili . Na ukicheza vizuri unakua security manager unapokea 1.5M kwa mwezi kwa kampuni ndogo na upo free kufanya mambo yako.
Nb.. wateja tunalipa kampuni za ulinzi zaidi ya 1.2 M kwa askari mmoja hapo hujaweka alarm system. VIJANA ULINZI UNALIPA TOKENI MAGETONI WAKO WASOMI WANALINDA HUKU KWA FORMULA HIYO NATUA WAPA HIZO HELA
Mkuu ukiwa sana mtakatifu hautokaa ufanikiwe hapa duniani . Makampuni ya ulinzi yanapiga sana hela na mastaff wanakula anasa huku wakiwaacha vijana bila maji ya kunywa malindoni.. ukiwa koro jitose mteja akuelewe alafu pigisha short mzee ibaki alarm systeam tuu ili kikiumana upate msaada harakaAsante mkuu umetuongezea kitu
Ila sijapenda sana hiyo kupigisha shot kampuni
Me naamini kwenye kupata kiungwana
Naheshimu mawazo yakoMkuu ukiwa sana mtakatifu hautokaa ufanikiwe hapa duniani . Makampuni ya ulinzi yanapiga sana hela na mastaff wanakula anasa huku wakiwaacha vijana bila maji ya kunywa malindoni.. ukiwa koro jitose mteja akuelewe alafu pigisha short mzee ibaki alarm systeam tuu ili kikiumana upate msaada haraka
Mpishi kulipwa milioni 10 ni maajabu ya dunia. Tumsamehe huyu jomba kwa sababu ana stress iliyoambatana na hasira kali. Tumpe muda atakuwa sawa.NImeshangaa sana
Sasa wewe chawa upo Lumumba unaimba iyena iyena, utajulia wapi code za mtaaMpishi kulipwa milioni 10 ni maajabu ya dunia. Tumsamehe huyu jomba kwa sababu ana stress iliyoambatana na hasira kali. Tumpe muda atakuwa sawa.
Mambo ya kiimani mwachie Mwamposa. Hapa tunaongelea uhalisia on the ground.Sasa wewe chawa upo Lumumba unaimba iyena iyena, utajulia wapi code za mtaa
Akili zako ni kumtukuza binadamu mwenzako upo ili ulipiwe ada za watoto
Yaani huamini kama Kuna chefs wanalipwa million 10 tena hapa Tanzania?
Nakwambia hao chefs wapoMambo ya kiimani mwachie Mwamposa. Hapa tunaongelea uhalisia on the ground.
😄😄😄😄 You will be fine! You will be fine!...Nakwambia hao chefs wapo
Wanalipwa hiyo pesa tena Tanzania na baadhi ni marafiki zangu
Sasa ndo nakwambia katika department zinazolipwa pesa nyingi kwenye hotels za five stars ni chefs
Nenda migodini au Hyatt uulizie chef anavuta bei gani
Unabwabwaja hapa hujui kitu, unabisha tu
Masikini wa humu wanashangazahumu masikini ni wengi sana ndio maana kila kitu kwao hakiwezekani... vijana amkeni achanani na matajiri wa mtandaoni wakina godlove, diamond, harmonize etc. hao wengi wao hawana hela wenye pesa wengi hawana kelele mtaani kuna siri nzito na watu wanapiga hela kimya kimya bila kelele.
Mama ntilie wengi wangekuwa wanamiliki hotel kubwakubwa. Kuna mtu anaanzia biashara ya mama ntilie hadi anazeekeapo. Labda saaana maendeleo yake yanakuwa kuhama eneo' na wengine biashara hufa kabisa.Kilimo cha matikiti 🤣
Ilaa business inayohusisha tumbo/ msosi haiangushi bana.
Ofisi yako iko wapi?Mkuu niunganushe na huyo dogo wako wa kariakoo.
Nataka kujifunza ufundi simu. Yeye atakuwa mwalimu wangu
Mtaji wa ofisi ninao