Fursa/ kazi watu wanapiga pesa ndefu na hazijastukiwa na wengi

Fursa/ kazi watu wanapiga pesa ndefu na hazijastukiwa na wengi

Mc ni kweli inalipa, kuna jamaa yangu amepiga IT Saiz ni Mc mzuri kikubwa uwe na mwaminifu tu kwa mwezi unaweza kunja hela nzuri.

Kuna hii nyingine

Day care &Nursery
kutokana na changamoto ya wasichana wa kazi hii sector inakuwa kwa kasi, ni kuweka mazingira mazuri tu, na usalama kwa watoto
Bajeti yake ikoje mkuu?
 
Ulivyosema uko sahihi sana lakini haujawambia factors na strategies mhimu zakuchochea unayoyasema yaweze kutimia pia usisahau biashara zina changamoto nyingi saaana sanaaa (nizigawe kwenye makundi makuu matatu) changamoto za kimfumo, ki jamii/kitamaduni pamoja na sababu za kiuchumi.
 
Aulizie kioo cha Samsung bei gani
Alipata simu 4 tu Kwa siku
Hapo Bado wateja wa betri
Protector, system charge, cover n.k
Hawa Watanganyika hawajui pesa zinapatikanaje
Wakiona watu wanajenga, bar zinajaza, safari, watu wanaishi good life wanadhani wote ni mawaziri
Hawajui watu wanapika harakati za kawaida na wana make mkwanja
Tatizo wanakadilia kazi za watu Kwa macho,na kama huyo jamaa anabisha kiufupi either ni mjuaji au haujuwi mtaa vizuri kwaiyo hiyo laki2 Kwa siku anaona hela nyingi sana
 
Tatizo wanakadilia kazi za watu Kwa macho,na kama huyo jamaa anabisha kiufupi either ni mjuaji au haujuwi mtaa vizuri kwaiyo hiyo laki2 Kwa siku anaona hela nyingi sana
Ndo akili za Watanganyika wajinga
 
Binafsi me ni msomi na Kwa Sasa nimejiajiri katika kilimo.
Kama kawaida kilimo Kuna kipindi tunapata Kuna kipindi hali inakuwa mbaya mno

Kuna fursa au taaluma zinalipa Kwa vijana, Ile kijana kusomea kupasua miamba, sijui doctor wa ubongo, sijui ualimu wa physics umalize ukose kazi au ulipwe laki 5 huo ni upumbavu

Baadhi ya fursa
1. Upishi/ chef
Hawa wapishi unaweza kijiajiri au kuajiriwa na ukapiga pesa ambayo hata polisi, mwalimu, doctor, mhasibu hawezi pata
Wapishi wanaofanya caterings wanalipwa mkwanja ukiambiwa hutakubali
Akihudumia harusi, majibu, au tukio malipo ni million 10+
Kuna watu wanafanya bakery 🥯 🧁 wanapiga hela, hata walimu wanaotoa tamko wanaipata siku 1
Jitahidi kumiliki hata bakery ndogo tu mtaani, ukiuza mikate 100 , keki, mandazi ni pesa ndefu
Kuna chefs wameajiriwa Zanzibar na Migodini na mahoteli makubwa wanalipwa million 10 ambayo hakuna mtumishi wa umma anapata

2. Mapambo
Hawa wapambaji wanapiga pesa ndefu
Hapa kikubwa uwe na vifaa vyote
Uzuri wa mapambo shughuliza harusi, misiba, mikutano n.k Huwa haziishi

3 mechanics/ garage
Hapa ni ufundi na uaminifu
Vyombo vya moto kama magari na pikipiki ni nyingi na Zina magonjwa yasiyoisha
Ukijitega vizuri ukawa fundi mzuri na ukawa na duka la spear utapiga pesa wakukimbie hata mtumishi wa umma hawezi pata pamoja na kuchomokea mashati na kuweka pen mfuko wa shati

4. Urembo wa magari
Hawa watu wa stika, taa, rangi na seat covers wanapiga pesa kirahisi mno

5. Ufundi simu
Kuna dogo langu yupo kariakoo ni fundi simu alinipa code kuwa Kwa siku ana uweZo Kwa kukunja 200k na hiyo ni uhakika.
Akiuzwa vio, betri na k solve matatizo madogo ya simu
Kama mtaji upo kuagiza simu Zanzibar na kuuza uku unapiga pesa ndefu

6 MC wa harusi
Hapa inahitaji kipaji na kupiga Domo haswaa, ukiwezea utapiga pesa hadi wakuroge

7. Usafirishaji
Hapa kupiga bolt au Uber
Kuna jamaa angu alinunua Raum yake million 8 alinambia kuwa anapata si chini ya laki 2 Kwa siku, hapa tatizo ni gari kupata magonjwa na Huwa inachukua pesa
Jaribu kununua gari zima utapiga pesa hadi ushangae
Sijagusia bajaji na bodaboda
Usafiri Kwa Sasa ni hitaji la muhimu sana

8 ulinzi
Kama una uweZo wa kumiliki kampuni ya ulinzi
Watu wanahitaji usalama, hapa utapiga pesa

9.Ushonaji
Hapa ukiwa fundi mkubwa na ukawa na vitambaa, utapiga pesa sana
Kuna marafiki zangu huko Dar es salaam ni mafundi wa cherehani lakini wanapiga pesa ambayo watumishi wa umma na mikopo Yao hawawafikii

10. Biashara ya mazao/nafaka
Mazao hayaozi kama matunda
Yanapanda bei Toka mavuno
Hapa ni msuli wa kuhifadhi tu

Vile vile Biashara ya viazi vya Chips
Kuna mchizi wangu nilisoma nae pale SAUT ndo harakati zake
Yeye Huwa anafuata mzigo huko Mbeya na anapeleka Dar alinambia kuwa hii biashara haijawahi kumtupa yaani akifikisha mzigo sokoni hatumii madalali Bali watu wanakimbilia wenyewe

Wale wasomi wenzangu tuweke vyeti pembeni tukomae na mtaa
Wale walimu wasio na ajira wanaoandamana ili kupata kazi ya kulipwa laki 5
Fursa hizo nimepeni bure
Chai
 
Jamaa anafanya mchezo na income ya 200k per day tena kwa fundi simu
Fundi tu wa kawaida hakosi elfu 30-50 sembuse fundi aliyebobea wa Kkoo.
Kutoa frp tu kwa baadhi ya simu inafika mpaka elfu 50 na hiyo simu moja, mpaka jioni amehudumia ngapi?

Na simu nyingi zinazopelekwa kwa mafundi wa Kkoo huko mtaani wamezishindwa hivyo zikifika Kkoo bei zake zinakuwa zimechangamka
 
Wako Watanganyika humu wanabisha tu
 
Fundi tu wa kawaida hakosi elfu 30-50 sembuse fundi aliyebobea wa Kkoo.
Kutoa frp tu kwa baadhi ya simu inafika mpaka elfu 50 na hiyo simu moja, mpaka jioni amehudumia ngapi?

Na simu nyingi zinazopelekwa kwa mafundi wa Kkoo huko mtaani wamezishindwa hivyo zikifika Kkoo bei zake zinakuwa zimechangamka
kwa income ya 200k per day akifanya siku 360×200k=72M per year So akifanya kazi 10yrs ana 720M hahaha
 
kwa income ya 200k per day akifanya siku 360×200k=72M per year So akifanya kazi 10yrs ana 720M hahaha
Anapata usiwe mbishi mkuu, mbona ni mkwanja wa kawaida
Huyu akipata wateja wa vioo wanne tu
Kila kioo apige zake haya 20%
Betri, system charge na magonjwa mengine
Kijana hapo Kariakoo ana maabara yake ya kuchunguza simu
Na anaishi good tu
Ana mjengo Goba na Ndinga anasukuma
 
Ausiyo
 
Back
Top Bottom