Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Jina lako tuu linaakisi mawazo yako mgando. Boresha wazo sio kuli crash kwa fikra zenu za kimasikini.
Mnafurahia sana mazoea yenu ya kutaka umasikini ili mnunulike.
Wapumbavu wengi huwa hamtaki kuambiwa ukweli na kuishia kupigwa hata hicho kidogo mlicho nacho. Kama una hicho kimilioni 5 mkabidhi Mshana ukapige picha Guangzhou na Yiwu kisha urudi hapa kulia huna kitu.
 
Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi
Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10 na wasiozidi 20.. Faida ya safari hii ya pamoja
pp
Ni jambo jema sana mradi tu isije ikawa nafuu ni aghari, tunauza viwanja Bagamoyo malipo ni kulingana na uwezo wako baada ya malipo ya awali.
 
Wapumbavu wengi huwa hamtaki kuambiwa ukweli na kuishia kupigwa hata hicho kidogo mlicho nacho. Kama una hicho kimilioni 5 mkabidhi Mshana ukapige picha Guangzhou na Yiwu kisha urudi hapa kulia huna kitu.
Hivi kwanini umekuwa so negative kwenye hii mada? Una agenda yoyote ya siri? Hakuna niliposema watu wanikabidhi pesa zao mbona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mimi nakuelewa sana mkuu
Una point kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkuu kati ya biashara ya vipodozi na viatu ipi ina mzinguko mkubwa ukiachana na mambo ya location
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…