Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Tuna fail kwa kukosa exposure, nasikitika kwa wakati huu sina fedha, but mtakaojaaliwa sio vibaya step by step mkatujuza juu ya safari hii, kwa japo picha za safari, maduka huko China na N. K.