Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

Kak mm npo interest sana apo # 2 na # 5..ebu nielekeze vizur inahitaji mtaji wa kuanzia kam sh.ngapi hvi.?na inakuaje upatkanaj wake
Mkuu kwenye mtaji sijajua exactly lakini nimezunguka maduka ya vifaa vya umeme kama bulb na soket and cables ni cheap sana. Nimeleta hapa uzi huu ili pia wazoefu wasaidie
 
Nataka kufanya biashara ya vipidozi,naomba muongozo wako

Ulishawahi kufanya before? Au unafanya? Kama unafanya unaweza kuniagiza nijaribu kufanya research ya price huku then nikutajie then upime
 
Mm nauza madini ya vito (gemstone) soko lipoje uko


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kama walivyosema wengine kuna mtaa unaitwa city of gold hapo wanauza gemstone za aina mbali mbali na kununua pia.
 
+971554157299 Namba yangu unaweza kunicheki whatsapp kwa msaada zaidi
 
Mazao gani yanaweza kubamba hapo?? Mfano korosho n.k
 

mkuu hio njia ya doha ndio unaendaje kama unawezakuielezea kidogo cos ya dubai kweli iko expensive
 
mkuu hio njia ya doha ndio unaendaje kama unawezakuielezea kidogo cos ya dubai kweli iko expensive

Option A.kwa emirates directly to Dubai ni Kama USD 848.38 kwa emirates.

Option B.dar- doha- Dubai ni Kama USD 674.26
Hizo ni nauli za round trip.tax included
 
Samahani wote ambao mmeona kama nimeanzisha uzi alafu nikakimbia. Unajua leo ni weekend huku and nilikua nimepumzika and muda si mrefu nitaingia kwenye ibada kusali. Naombeni mnisamehe nikitoka kanisani tutaongea vizuri na kushauriana.

Kaka kuna Kanisa huko, namaanisha Kanisa la wazi, sio lile la kujificha, maana najua hizo nchi haziruhusu kitu chochote chyenye kuonyesha Ukristo (misalaba, bible ect)
 
izi fursa zimekuja kipindi kibaya ... dah.... ila asante kwa taarifa
 
Kaka ahsante sana kwa michango yako yote kwenye huu uzi na ninakufuatilia kwa makini. Naomba kujua upatikanaji wa vifaa vya ujenzi huko hasa bei ya saruji.....
 
Kaka ahsante sana kwa michango yako yote kwenye huu uzi na ninakufuatilia kwa makini. Naomba kujua upatikanaji wa vifaa vya ujenzi huko hasa bei ya saruji.....

Ndugu yangu kuhusu vifaa vya ujenzi vipo kila aina tena kwa bei nzuri kulinganisha na kwetu,kuhusu saruji sina uzoefu nao sana lakini niliwahi kununua hapa nakumbuka ilikuwa kiasi kama Tshs 12 elfu Kwa mfuko ila ni kiasi miaka 3 iliyopita Kwa sasa sifaham
 
Kaka kuna Kanisa huko, namaanisha Kanisa la wazi, sio lile la kujificha, maana najua hizo nchi haziruhusu kitu chochote chyenye kuonyesha Ukristo (misalaba, bible ect)

Nyie ndio mnaanzisha udini kwenye uzi,,,we kama ukijua kuna kanisa au hamna itakusaidia nini? Au unataka kwenye kusali Dubai?

Uliza kitu alicholeta mkuu hapo hayo mambo ya kutoka nje ya mada hayapendezi kwakweli maana kuna mtu akija na akili fupi akikujibu uzi ndo ushaharibika.
 

pole kwa kukwazika

Kaka hukuona tatizo lilikoanzia?
mtoa mada alisema anaenda kanisani tena kwenye nchi sio tu ya Kiarabu bali pia ya kiislamu, wewe uoni ametengeneza maswali yaliyo nje ya mada?
kwa nini asingesema ana udhuru tu?

siku zote maelelzo unayoyatoa unayotoa kujieleza kama hujayadeviate kutoka kwenye mzizi halisi wa hoja hapawezi kamwe kuwa na maswali mengi lakini ukichanganya habari ndio unatoa mwanaya wa watu kupekenyua visivyokuwa kwenye mzizi mkuu wa maada

anyway tuache haya mambo
 

Dubai sio nchi ya kiislamu sema ni nchi yenye waislamu 99.9% ni sawa leo hii useme Zanzibar ni nchi ya Kiislamu. Nchi ya kiislamu ni yenye kutumia Shaariyah.

Any way kama ulivyosema tuache haya mambo.
 
naomba kujua wapi yalipo maduka/masoko/shopping mall ya simu,kompyuta,memory cards,flash,tablet na bei zake.
pia ningependa kujuzwa kuhusu biashara ya nguo na vipodozi.
Natanguliza shukrani zangu.
Nalog off
 
naomba kujua wapi yalipo maduka/masoko/shopping mall ya simu,kompyuta,memory cards,flash,tablet na bei zake.
pia ningependa kujuzwa kuhusu biashara ya nguo na vipodozi.
Natanguliza shukrani zangu.
Nalog off

Maduka yote hayo yanapatikana mtaa wa Naif
 

kaka, je naweza kukuagiza kamzigo kangu ka million moja nikaletewa mzigo?
Naomba nijibu kaka nina shida kubwa sana. Unaweza ukanipigia kunitumia smhs unisauri kaka yngu mpendwa. Mimi mama yako wa miaa 55 smu yangu ni no. 0713 68 96 65
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…