ki ukweli dubai vitu ni bei rahisi japo sikukaa sana ila nililiona hilo,kuna vitu nilinunua mall of emirates(moe) vilikuwa ni bei rahisi mpaka nikashangaa, mfano nilinunua flash ya gb 8 kwa dirham 10 ambayo ni sawa ni aprox 4600/= ambapo huku kwa jk sijui ingekuwaje,pia nguo ni bei rahisi sana,kwa wenye mitaji kweli pale mahali panafaa sana,pia usafiri sio ghali sana cause kuna option mbili,ya kwanza ni kufly directly to dubai from dar(hii ni expensive kidogo) na nyingine ni ya kupitia doha(hii ni cheap ukilinganisha na ya kwanza).Ni hayo tu