lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,204
Nia yangu ni kukujulisha kua hata Kama ghali sio ghali kiasi hicho kwa hotel Kama hizo, Tara aed200-250, Gold plaza 200, sima 255 na ile ya wa Yemen ilokua karibu na sima opp na chinese commodity pia wana nipa best rate.
Inawezekana kabisa...hata me plans zangu nikujilita kwenye biashara ya kununua mzigo na kutuma Dar as well as kuchukua order za watu na kuwatumia. Tatizo ni uaminifu na mtaji. Uaminifu kwa maana hii kama mtu anataka mzigo flani na hatujuani ntumekutana huku kwenye mitandao ya kijamii je ataniamini kunitumia hela nimnunulie mzigo wake?
Andaa mtaji wako tu,kuna soko linalouza vifaa vya aina yako pale Naif kuna kila vipodozi unavyotaka,kikubwa wewe kufanya utaratibu wakutoa mzigo wako hapo Dar ,
Nimeona ninsaidie huyo jamaa kujibu
Wakuu, nahitaji info,contacts,website etc za wauzaji wa vifaa vya umeme kama switch, cables, fitting za taa, taa za urembo na bulbs etc. Ningependa kujua bei za huko before sijafunga safari.mwenye info kwa hiyo category.
Najaribu ku attach picha za hizo taa maana nilinunua wiki iliyopita lakini sioni option kwenye hii simu,ukiweza ni add whatsapp nikutumie picha na bei ili ujipange kabda ya kwenda kununua mzigo,ni cheap sana +971504374387
Safi mkuu kwa kunijua. One love
Najaribu ku attach picha za hizo taa maana nilinunua wiki iliyopita lakini sioni option kwenye hii simu,ukiweza ni add whatsapp nikutumie picha na bei ili ujipange kabda ya kwenda kununua mzigo,ni cheap sana +971504374387
Mkuu nna shida na printing mashine ya kuprint banners na A3,A4 flyers. Pamoja na Commercial Washing mashine na Photocopy mashine kubwa. Naomba msaada wa bei za hivo vitu huko.Habari zenu wana jf. Leo nataka niwaambie kuhusu fursa za biashara ndani ya falme za kiarabu na wadau wengine wenye uzoefu na huku wanaweza kuongezea ambapo sijapagusia.
Uwepo wangu huku kwa kipindi cha zaidi ya mwezi nimeweza kujifunza na kutafiti fursa mbali mbali ambazo kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo, wa kati na mtaji wa juu anaweza kufaidika na fursa hizi. Either kwa kuagiza mzigo au kuja mwenyewe na kustudy fursa hizo then akapata idea ya biashara gani anaweza kuifanya.
Kwa haraka haraka fursa ambazo nimeziona ni kama zifuatazo
1. Biashara ya nguo.
2.Biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme
3. Biashara ya vipodozi
4. Magari ya biashara au ya matumizi binafsi
5. Spea za magari
6. Tende kwa msimu huu wa Ramadan
7. Simu, laptops. Tablets n.k
Unaweza kuuliza swali nikakupa msaada kadri ya uelewa wangu
Namimi nina shida na hii kitu. Naomba mkuu lucky sabasaba utusaidie sana bei za hii kitu hususani canon, ukitupia picha kama utakuwa nazo itakuwa mwake sana.Mkuu nna shida na printing mashine ya kuprint banners na A3,A4 flyers. Pamoja na Commercial Washing mashine na Photocopy mashine kubwa. Naomba msaada wa bei za hivo vitu huko.
Namimi nina shida na hii kitu. Naomba mkuu lucky sabasaba utusaidie sana bei za hii kitu hususani canon, ukitupia picha kama utakuwa nazo itakuwa mwake sana.
Thanks in advance
Hii kitu inapatikana kwa wingi Sharjah zaidi ya Dubai,Kuna member mwenzetu anaitwa Mito alishawai kuagiza,dealer mkuu anaitwa Habib piga +97165319223 anazo mpya na used.Nilipita dukani kwake mwezi uliopita nikaona used photocopier Sharp model AR-5051 alikuwa anauza Tsh 520,000/
Mkuu ubarikiwe sana nashukuru. Vp kuhusu kodi za TRA wanapigaje hesabu maana watu tunataka kucalculate total cost kabisa.
ki ukweli dubai vitu ni bei rahisi japo sikukaa sana ila nililiona hilo,kuna vitu nilinunua mall of emirates(moe) vilikuwa ni bei rahisi mpaka nikashangaa, mfano nilinunua flash ya gb 8 kwa dirham 10 ambayo ni sawa ni aprox 4600/= ambapo huku kwa jk sijui ingekuwaje,pia nguo ni bei rahisi sana,kwa wenye mitaji kweli pale mahali panafaa sana,pia usafiri sio ghali sana cause kuna option mbili,ya kwanza ni kufly directly to dubai from dar(hii ni expensive kidogo) na nyingine ni ya kupitia doha(hii ni cheap ukilinganisha na ya kwanza).Ni hayo tu
Hii kitu
inapatikana kwa wingi Sharjah zaidi ya Dubai,Kuna member mwenzetu
anaitwa Mito alishawai kuagiza,dealer mkuu anaitwa Habib piga
+97165319223 anazo mpya na used.Nilipita dukani kwake mwezi uliopita
nikaona used photocopier Sharp model AR-5051 alikuwa anauza Tsh
520,000/
Mm nataka kujua bei za injini 3L na 5L za Toyota hiace kwa Dubai na ushuru wake,Natanguliza shukrani.
Jamn hiyo price ya chumba ni kwa usiku mmoja au?