This is awesome!Watz wapo wana pambana kielimu uchumi etc... Na taasisi za kimataifa zipo pia katika kusaidia wakishirikiana na serikali ya jmt
View attachment 1910394
View attachment 1910395
View attachment 1910396
View attachment 1910397
View attachment 1910398
View attachment 1910399
Source BBC14, July 2021
Uingereza inakabiliwa na uhaba wa madereva wa malori, upungufu uliopo ambao unahitaji kuzibwa haraka ni maderava 100,000.
Athari zilizotokea mpaka sasa ni Nandos kufunga baadhi ya migahawa yake wa kukosa malighafi.
Mc Donald kuacha kuuza milk shake kwa kukosa supply.
Iceland supermarket wanalazimika ku cancel mapokezi 30-40 kwa siku.
Break Points pia kando ya Barabara kubwa zinakabiliwa na uhaba wa petrol na diesel.
Riport ya bank Kuu paia inaonyesha maduka yanayouza furniture yameathirika sana kwa kukosa mali za kuwapelekea wateja hata za kuweka dukani.
Tatizo hili limesababishwa na Covid pandemic pia Uingereza kujitoa katika Jumuia ya Ulaya.
Kenya walikubalina na UK kupeleka wahudumu wa afya, hata madereva wanaweza wakaomba wawapelekee.
Balozi wetu afanye mpango vijana wa +255 waende wakaongeze nguvu kazi kwa malkia.
Cc : Sky EclatYaani hili dili kwanza Nigeria wakilisikia wataomba kama wote. Maana yake hapa ukishachukuliwa kama dereva una uwezo wa kuomba visa ya mke na watoto.
Mmmh! Huo uzi ni wakutafuta sanaUzi upo moto ila humu ndani kuna mwanajamvi alishawahi kutoa uzi flani hivi wa kwenda nje kihalalo na kirahisi kupitia kuomba kwenye website flani hivi nimezosahau majina ambapo utakuta watu wanatoa mialiko ya kwenda kuwasaidia kazi huku wew wakikupa hifadhi na chakula kwa muda husika
Nikiukumbuka jina tauletaMmmh! Huo uzi ni wakutafuta sana
Hapa ndio tatizo linapo anzia, scholarships zipo open za Japan, Korea, uholanzi, Singapore etc... Lakini watu wametulia...Michongo imekuwa migumu sio bongo sio nje ..?
Mkuu unaweza kutoa mwanga wa hayo magroup yanapopatikana either telegram au facebook.Hapa ndio tatizo linapo anzia, scholarships zipo open za Japan, Korea, uholanzi, Singapore etc... Lakini watu wametulia...
Hapo mwezi wa kumi ndio balaa haswa, zina funguka za kutosha zikiongozwa na China...
Mataifa yanayo ongoza kuangaika nazo ni Pakistan na India na ukiingia ktk magroup yao ni balaa wana kupa ABC zote... Yani admn ndio ana onesha kwa vitendo...
Sijui sisi tuna taka nini???
Mtu pass hana
ID ya taifa hana
Recommendations letter hana
Language test hana (option)
Etc
Alafu ana taka kwenda kusoma!?
Labda usome hapa hapa...
Tunahitaji hizo fursa jmnKAMA KICHWA CHA UZI KINAVYOJIELEZA :
Karibu tuweze kushare fursa mbali mbali zinazopatikana nje ya mipaka ya nchi yetu ya TANZANIA.
Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya yatakayotuwezasha kuleta maendeleo katika nchi yetu..
kwa kuzifukuzia fursa nje ya nchi.
Tatizo la ajira kwa wahitimu wa fani mbali mbali kila siku linazidi kuongezeka,
hivyo basi ni vyema walau asilimia kadha kuangalia fursa nje ya mipaka ya Tz, kuliko wote " kukaa na kusikilizia mishe" au kusbiria ajira za serikalini.
Pia kwa wafanyabiashara wanaofikiria kukuza biashara zao kuexport na kuimport..
Wenye ndoto za kujiendeleza kimasomo ngazi za juu nchi za ulaya, marekani etc... kutafuta exposure na kadhalika..
Wale wa taloi walioizunguka hii dunia pia mnaweza kutupa mawili matatu,
kutokana na experience yenu na ni namna gani inaweza kumsaidia na MTanzania ambaye ana ndoto za kufanikisha moja ya mambo niliorodhesha kwenye kichwa cha uzi hapo juu..
Karibu!
View attachment 1889729
View attachment 1889731
View attachment 1889733
Ni kweli ni lazima ujitoe haswa nakujipambania kwasababu si jambo rahisi!Hapa ndio tatizo linapo anzia, scholarships zipo open za Japan, Korea, uholanzi, Singapore etc... Lakini watu wametulia...
Hapo mwezi wa kumi ndio balaa haswa, zina funguka za kutosha zikiongozwa na China...
Mataifa yanayo ongoza kuangaika nazo ni Pakistan na India na ukiingia ktk magroup yao ni balaa wana kupa ABC zote... Yani admn ndio ana onesha kwa vitendo...
Sijui sisi tuna taka nini???
Mtu pass hana
ID ya taifa hana
Recommendations letter hana
Language test hana (option)
Etc
Alafu ana taka kwenda kusoma!?
Labda usome hapa hapa...
Asante sana MkuuThe Swedish Institute Scholarship for Global Professionals
A full-ride scholarship awarded to ambitious global professionals for full-time master's studies in Sweden.si.se
Hii mwezi wa 10 inafunguka kwa maombi
Kwenye age limit hapo sijaelewa.Scholarship za Mauritius...
Wente changamoto za uwezo wa kifedha nawangependa kujiendeleza zaidi..
View attachment 1896290
Hiyo link mr unatupatiaje wanaotaka tu joinNyingi zina wapa kipaumbele waajiriwa wa serikali kuna Hungary, orange huko Holland etc...
Na hasa zinazo pitia ktk mamlaka za serikali... Na hata ambazo hazipitii huko, kwa mfano za ubalozi etc
Kuzipata ni kusoma vigezo na kujua muda wa kutuma maombi...
Pia jifunze lugha za mataifa husika ina saidia, wachina wamechukua wengine kupitia program ya kufundisha kichina ktk vyuo vyetu, wakorea etc...
Kuna fellowships pia...
Mambo ni mengi pambania jifunze kitu kipya, hakuna linalo shindikana...
************************
Kuna magroup mbalimbali huko duniani kwa ajiri ya kusaidiana kupeana mwangaza, ukiona mtz mwenzio ana bana Basi ingia kwa wahindi, Pakistan hawa watu wana saidiana sana sana na wanaingia ulaya kwa wing mno...
Akili kumkichwa....
Check hapa tume kutana watu kutoka mataifa mbalimbali... Watu wenye njaa, hapa thread kupata mrejesho utakesha, tuchangamkie technology
Elon Musk says we need universal basic income because 'in the future, physical work will be a choice'
View attachment 1900661
View attachment 1900662