Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Tukiendelea kupiga soga nazani skolashipu zita kuja kutugongea mlango kijiweni, nyumbani, ktk IG ya mobeto, wema, diamond etc...
Chuki pia ninzuri ila iwe kwako binafsi hasa kwa umasikini wako, ili ikupe motisha kwa kile unacho kikosa... Ukikaa kuchukia walio abroad, walio ktk nyazifa ni kujipa misongo ya mawazo na kufa mapema
Tengeneza mikakati mizuri kufikia malengo yako...
Kuna skolashipu kwa nchi za afrika mashariki kila mwaka, na kwa sasa zipo wazi hivyo ni wewe binafsi kuzikimbilia...
Madubuasha ni mengi...