Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Singapore jobs

Nchi 77 unazoweza kusafiri kutoka Tz .. kwa visa on arrival!
 
images (3) (2).jpeg
 
Inahitajika PASSPORT tu ... kwa initial application
 
Pamoja na picha yenye kukidhi vigezo maalumu...

Maelezo yote yapo kwenye site official
Ubarikiwe sana na riziki zako zitafunguka inshallah kwa moyo huu wa kushare...binafsi nimapply hii
 
Ubarikiwe sana na riziki zako zitafunguka inshallah kwa moyo huu wa kushare...binafsi nimapply hii
Shukrani mkuu,
Vizuri , ile for.m Ni rahisi kujaza ukiielewa vyema!
 
Nilisikia mtanzania kusoma ujerumani ni free, lakini itakulazima kusoma kijerumani kwanza kabla ya ya kwenda.
 
Hiz visa nahitaj max kias gan kuomba?
Mkuu kama una PASSPORT potr omba sasa hivi mapema kabla ya November 9 nido deadline.

Ni bahati nasibu ya kuishindania green card / permanent resident permit ya Marekani

So sio tu visa ya kusafiri bali ni kibali cha mkaazi wa kudumu Us
 
Back
Top Bottom