Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Eiyer.... Mkuu mimi nimefatilia vizuri huu uzi na ninajivunza mengi nilokua nayajua kwa juu tu! Kuhusu suala la miji ya chini ya ardhi naona limeleta ukakasi kidogo japo mimi niliwahi kusikia juu ya miji iloundwa chini huko kusaidia incase kukiwa na vita ya nuclear mfano moscow,sikujua kama kuna mazito kiasi hicho.. Kwakua wenzetu hum mmejaalia ujuzi wa mambo ni bora mkatutoa usingizini muweke hata tupicha au kipisi chochote cha andiko kuthibitisha uwepo wa miji hiyo ili tuendelee kufaidi hizi nondo za maana.

[quote uid=42137 name="Eiyer" post=20998740]Kwa sisi tunaoangalia mambo kwa namna tofauti kabisa tumeona mengi kwenye hili tukio lililokuwa linatokea kwa mtindo wa series...

Hawa watu huwa wanaacha signature zao na mara moja ukizijua tu unajua ni nani aliyefanya haya matukio....[/QUOTE]
Mkuu Eiyer nasoma hizi makala zako kila Mara nipatapo muda najiuliza hivi?

Huyu Nimrod mjukuu wa Nuhu na mtoto wa Ham,mkewe Semiramis na mtoto wao Tamuz

Mpk walipoamua kuunda utatu wao wa kikanjanja kanjanja

Sasa mbn km hadithi yao inafanana na ule 'Utatu Mtakatifu'? hapa nani alianza na huu utatu? Km ni wao akina tamuz ,huu tunaousoma utatu mtakatifu umeanzia wapi?

Ilipita miaka mingapi toka utatu huo wa akina Semiramis, nimrod na Tamuz ,hadi utatu huu mtakatifu?

Maswali mengi ila majibu sina

Kuna jambo mkuu unapaswa ulijue...

Kuna ahadi kadhaa ambazo Shetani aliziweka kwamba ni lazima atazitimiza na ahadi hizo zipo 6 kwenye kitabu cha Isaya....

Isaya 14:12-14
12 Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
13 Nawe ulisema moyoni mwako, [1] Nitapanda mpaka mbinguni, [2]Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; [3]Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, [4]Katika pande za mwisho za kaskazini.
14 [5]Nitapaa kupita vimo vya mawingu, [6]Nitafanana na yeye Aliye juu.

Hizo ahadi nimeziwekea namba kwenye alama hizi za [] na ndiyo maana watu hawa wanaiheshimu sana namba 6 kwasababu ya idadi ya hizo ahadi lakini kuna sababu nyingine zaidi ya hizo...

Angalia kwenye nyekundi hapo,aliahidi kuwa nitafanana na aliye juu.Alichokifanya ni kutengeneza mambo au mazingira ambayo yatamfanya naye afanane na Mungu na hilo la Utatu ni mojawapo....

Kibaya zaidi ni kwamba alijuwa kuanzia mwanzo kabisa ni kitu gani ambacho Mungu alichokifanya hivyo akawahi kuanzisha utatu wake fake ili aweze ku mislead watu na kufikiria kuwa utatu ni wa kipagani...

Hakuishia hapo tu kuna myth nyingi sana kuhusiana na Tammuz...

Anadaiwa alikuwa na wanafunzi 12..
Aliuawa kwaajili ya watu wake [kuwaokoa na wanyama wa msituni]
Alifunga siku 40..
Alizaliwa na bikira [Inadaiwa Semiramis hakuwa na mtoto kabla ya kumzaa Tammuz]
Ujauzito wake uliwezeshwa na "mungu" kumbuka dhana ya Semiramis kwenda mawinguni na kupata ujauzito...
Aliitwa mwana wa "mungu",nadhani unafahamu kuwa kama Nimrod alikuwa akiabudiwa na watu wake basi mtoto ambaye anadaiwa kuwa ni wake naye ni "mwana wa mungu"..

Yapo meengi sana lakini iko hivyo ili kuufanya ulimwengu uone kama kuwepo kwa utatu na kuzaliwa kwa Yesu ni hadithi za kale....

Mkuu vitu vingine kupata ushahidi wa picha ni kazi ngumu sana labda ushahidi wa mahali pa kuangalia au kusoma...

Hebu anza na huyu jamaa halafu utapata mwanga zaidi....

Mkuu vitu vingine kupata ushahidi wa picha ni kazi ngumu sana labda ushahidi wa mahali pa kuangalia au kusoma...

Hebu anza na huyu jamaa halafu utapata mwanga zaidi....

Shukrani mkuu, hii video ni ndefu kidogo ngoja nimalizie kumung'unya ubuyu kwenye ule uzi wako wa vifo vya marais kennedy na lincolin ntarudi kuifaidi hii mubashara kabisa.

Shukrani mkuu, hii video ni ndefu kidogo ngoja nimalizie kumung'unya ubuyu kwenye ule uzi wako wa vifo vya marais kennedy na lincolin ntarudi kuifaidi hii mubashara kabisa.
Okay,take your time and enjoy....

Salaam GT Eiyer. Pamoja na makala zako kuogopesha na kufikirisha zaidi huwa zinaelimisha sana.
Nimekuwa mmoja wa watu tunaojaribu kuitafuta dhana ya asili ya tofauti za rangi ila huishia kwenye maelezo ya kisayansi kitu ambacho hushindwa kukidhi kiu yangu. Nafahamu inaweza kuwa nje kidogo ya mada lakini naomba useme kidogo namna hii ilivyotokea walau kwa muhtasari ili nipate kufahamu kwanini kumetokea races.
Halafu kuhusu bara la Atlantis na wakazi wake ambao ndio hawa wanaoendelea kusambaratisha dunia,walishindwa nini kuhamia bara nyingine kuendelea na maisha baada ya bara kuzamishwa(kama nilivyosikia kwenye sources nyingine). Asante mkuu.

Kaka unajua mambo si mchezo....natamani hata siku nikuone

Mkuu upo deep sana, tuandikie huo uzi mzee hata taratibu taratibu ukipata mda, tunaopenda kusoma tutasoma kaka, gud work.

Okay,take your time and enjoy....

SAluti mkuu wangu Eiyer,.
unafanana sn na huyo mtu kwa avatar yako. my favorite kwa movie ya 24.
Mkuu naomba nisaidie jambo moja, cancer imechelewa sn kufika kwetu. wazungu wamekua prone sn kwa hili janga. lkn pia obama alikua maarufu sn kipindi chote cha uongozi wake, je ni member wa haya makityu. na vipi kuhusu mwanaharakati wa haki za binadamu Rev. Al sharpton nae ana mahusiano na hawa watu?

Asee huyu Pindar huyu kumbe yuko hapa duniani? Mmmh huko anakoishi huko...naogopa hapo umetaja Vatican
Usiogope ni simulizi tu kama simulizi nyingine za kufurahisha maana wanaoelezea wanajua machache sana

hapa kama umeniacha kidogo na uelewa wangu mdogo huu!
huyo sananda ambaye alikuwa kwenye list la malaika walio hasi ndio shetani mkuu mwenyewe tunaye mfahamu sisi lucifer?
au lucifer ayupo kwenye hii list ya sananda?

hapa kama umeniacha kidogo na uelewa wangu mdogo huu!
huyo sananda ambaye alikuwa kwenye list la malaika walio hasi ndio shetani mkuu mwenyewe tunaye mfahamu sisi lucifer?
au lucifer ayupo kwenye hii list ya sananda?
Kabla sijajibu swali lako nikuombe tu kuwa uwe makini na matumisi ya herufi.hapo umeandika "aliye hasi" badala ya "aliye asi",unapoweka herufi h unakuwa umemaanisha kitu kingine kabisa hivyo kuwa makini sana mkuu....

Nikirejea kwenye swali lako ni kwamba jina au neno Lucifer siyo jina la kibiblia maana hakuna mahali kwenye biblia pamemtaja shetani kwa jina hilo isipokuwa jina hilo lina asili ya kilatin ambalo walatini walimuita hivyo huyo malaika muasi ambaye ana jina lake alilotumia kule mbinguni na halijaandikwa kwenye biblia isipokuwa vyanzo vingine...

Sananda siyo shetani bali ni miongoni mwa malaika wakuu walioasi.Walikuwa zaidi ya moja pamoja na malaika wa kawaida...

Obama ni Freemason wa degree ya 32 na wkasababu hiyo ni mwanachama wa Illuminati maana huwezi kuwa Mason wa degree hiyo bila kuwa mwanachama wa Illuminati wa ngazi kubwa vile vile....

Kuhusu Rev. Al Shapron sijajua kumhusu mkuu labda nitaangalia zaidi kumhusu ili nijue...

Kaka unajua mambo si mchezo....natamani hata siku nikuone
ninachokijua ni kidogo sana mkuu na bado najifunza.unaweza kujifunza na kujua pengine zaidi yangu mkuu maana taarifa hizi zipo kwaajili ya kila mtu.....

Mkuu upo deep sana, tuandikie huo uzi mzee hata taratibu taratibu ukipata mda, tunaopenda kusoma tutasoma kaka, gud work.
Nitaangalia mkuu kama nitaweza kupanga ratiba zangu vizuri ili nianze kuandika mkuu....

Mkuu ahsante kwa swali zuri,naomba tukijaaliwa uzima hili nitalijibu kesho kwa uzuri mkuu....

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…