FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA

C&P
Mwaka huu wanafunzi wengi unaowasemea wengi wao wamepewa ACCOMODATION TU ADA HAKUNA

NIMEONA WANAFUNZI WENGI WANATAKIWA WAJILIPIE ADA ZAIDI YA MILION MOJA KWENYE ADA YA MASOMO YA MWAKA

HIVYO HIYO NI SIASA MWAKA HUU WANAZFUNZI HAJAPEWA ASILIMI ZA KUTOSHA KUKIDHI MATAKWA YA KUSOMA
 
Ila kwa kasi hii huyu Rais tumfikirie aende mpaka 2035.

Kipindi kifupi matokeo makubwa sana.

Duuuh kweli Mungu findi sana.

Sijawahi kuona kasi kama hii tangu nimekua nimeona maraisi wengi
Wewe na famili yako fikirieni

Hakuna mtu wa kufanya hivyo
 
Mwaka huu wanafunzi wengi unaowasemea wengi wao wamepewa ACCOMODATION TU ADA HAKUNA

NIMEONA WANAFUNZI WENGI WANATAKIWA WAJILIPIE ADA ZAIDI YA MILION MOJA KWENYE ADA YA MASOMO YA MWAKA

HIVYO HIYO NI SIASA MWAKA HUU WANAZFUNZI HAJAPEWA ASILIMI ZA KUTOSHA KUKIDHI MATAKWA YA KUSOMA
Hii ni kwamujibu wako mkuu, Ila kila kitu kiko sawa,
 
Kiko sawa wapi wew, yaan unajiongelea tu na hujui unaongea nin asee. Imagine MTU ada ya chuo Ni Million moja afu anapewa 350k, hela ya Field 0, B&S 0, Tena ufaulu wake wa advance Ni mzuri tu na amesoma government schools tangu o-level. Mwanafunzi anaishi vijijin ukifika mda wa kwenda field inamlazmu aende mjini sababu assessors hawawezi kwenda vijijin..Sasa jiulize huko mjini anaishije ikiwa pesa za field hajapewa? Pia familia nyingi maskini wanafunzi wanategemea kumiliki smartphone wakipata boom Sasa hiyohyo pesa ya Meals and accommodation ataigawa vp, ili apate hela ya Field, kula, Vitabu na nyongeza ya ada? Yaan unasema kila kitu kipo sawa nahis Kuna cheo umepewa CCM huko unatetea UJINGA.

Mkuu ngoja tusubiri wenye dhamana watatoa muelekeao upi,

Ninachojua Rais Samia kamwe hawezi kukubali mateso kwa vijana wake,
 
Mleta mada kichwa chako kimejaa matope tu hamna akili..

Hivi Nikweli huna hata uwezo wa kufuatilia uhalisia wa habari zinazotolewa na serikali..

Nikweli hujui Kama huku mtaani wazaz wanalia na kusaga meno kwa kukosa pesa za kuongezea kulipa ada kutokana na ugawaji wa asilimia kidogo wa mkopo kwa watoto wa masikini ambao hata kupata elfu50 mpaka wauze shamba!?

Hujui Kama Serikal kupitia hizo mikopo duni imewaandalia wanafunzi kwenda kuishi maisha magumu huko vyuoni baada ya pesa ya meals and accommodation kutumika kulipa ada, nakuwaacha wakiwa hawana pesa za kujikimu.

Nasema hivi; Kama huu upuuzi ndo unao uona kwako ni msaada Basi kichwa chako kimejaa matope.

Nalog off.
 
Ila kwa kasi hii huyu Rais tumfikirie aende mpaka 2035.

Kipindi kifupi matokeo makubwa sana.

Duuuh kweli Mungu findi sana.

Sijawahi kuona kasi kama hii tangu nimekua nimeona maraisi wengi

Acha bangi
 
Mleta mada kichwa chako kimejaa matope tu hamna akili..

Hivi Nikweli huna hata uwezo wa kufuatilia uhalisia wa habari zinazotolewa na serikali..

Nikweli hujui Kama huku mtaani wazaz wanalia na kusaga meno kwa kukosa pesa za kuongezea kulipa ada kutokana na ugawaji wa asilimia kidogo wa mkopo kwa watoto wa masikini ambao hata kupata elfu50 mpaka wauze shamba!?

Hujui Kama Serikal kupitia hizo mikopo duni imewaandalia wanafunzi kwenda kuishi maisha magumu huko vyuoni baada ya pesa ya meals and accommodation kutumika kulipa ada, nakuwaacha wakiwa hawana pesa za kujikimu.

Nasema hivi; Kama huu upuuzi ndo unao uona kwako ni msaada Basi kichwa chako kimejaa matope.

Nalog off.
khaaa
 
Back
Top Bottom