CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Sawa ili common sense can not be commonCommon sense
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ili common sense can not be commonCommon sense
Mwaka huu wanafunzi wengi unaowasemea wengi wao wamepewa ACCOMODATION TU ADA HAKUNA[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,
Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29
Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300
Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883
_________________________
Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.
#Hoja hapa ni muda wa matokeo
#HAKUNA KAMA SAMIA
C&P
Wewe na famili yako fikirieniIla kwa kasi hii huyu Rais tumfikirie aende mpaka 2035.
Kipindi kifupi matokeo makubwa sana.
Duuuh kweli Mungu findi sana.
Sijawahi kuona kasi kama hii tangu nimekua nimeona maraisi wengi
Hii ni kwamujibu wako mkuu, Ila kila kitu kiko sawa,Mwaka huu wanafunzi wengi unaowasemea wengi wao wamepewa ACCOMODATION TU ADA HAKUNA
NIMEONA WANAFUNZI WENGI WANATAKIWA WAJILIPIE ADA ZAIDI YA MILION MOJA KWENYE ADA YA MASOMO YA MWAKA
HIVYO HIYO NI SIASA MWAKA HUU WANAZFUNZI HAJAPEWA ASILIMI ZA KUTOSHA KUKIDHI MATAKWA YA KUSOMA
Hii ni kwamujibu wako mkuu, Ila kila kitu kiko sawa,
Mkuu ngoja tusubiri wenye dhamana watatoa muelekeao upi,Kiko sawa wapi wew, yaan unajiongelea tu na hujui unaongea nin asee. Imagine MTU ada ya chuo Ni Million moja afu anapewa 350k, hela ya Field 0, B&S 0, Tena ufaulu wake wa advance Ni mzuri tu na amesoma government schools tangu o-level. Mwanafunzi anaishi vijijin ukifika mda wa kwenda field inamlazmu aende mjini sababu assessors hawawezi kwenda vijijin..Sasa jiulize huko mjini anaishije ikiwa pesa za field hajapewa? Pia familia nyingi maskini wanafunzi wanategemea kumiliki smartphone wakipata boom Sasa hiyohyo pesa ya Meals and accommodation ataigawa vp, ili apate hela ya Field, kula, Vitabu na nyongeza ya ada? Yaan unasema kila kitu kipo sawa nahis Kuna cheo umepewa CCM huko unatetea UJINGA.
Ila kwa kasi hii huyu Rais tumfikirie aende mpaka 2035.
Kipindi kifupi matokeo makubwa sana.
Duuuh kweli Mungu findi sana.
Sijawahi kuona kasi kama hii tangu nimekua nimeona maraisi wengi
HowMwendazake anaendelea kusagiwa kunguni na watu wake wale wale aliokuwa nao .
khaaaMleta mada kichwa chako kimejaa matope tu hamna akili..
Hivi Nikweli huna hata uwezo wa kufuatilia uhalisia wa habari zinazotolewa na serikali..
Nikweli hujui Kama huku mtaani wazaz wanalia na kusaga meno kwa kukosa pesa za kuongezea kulipa ada kutokana na ugawaji wa asilimia kidogo wa mkopo kwa watoto wa masikini ambao hata kupata elfu50 mpaka wauze shamba!?
Hujui Kama Serikal kupitia hizo mikopo duni imewaandalia wanafunzi kwenda kuishi maisha magumu huko vyuoni baada ya pesa ya meals and accommodation kutumika kulipa ada, nakuwaacha wakiwa hawana pesa za kujikimu.
Nasema hivi; Kama huu upuuzi ndo unao uona kwako ni msaada Basi kichwa chako kimejaa matope.
Nalog off.
Ni typal error mkuuKuna mtu kapewa 2750 tution fee per year
Kazi kweli kweli
Uaminifu wake na huruma yake vinambeba sana