FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Madeni mpaka China na USA wanadaiwa. Hawapati madeni kwa nia ya kujifurahisha tu ni katika kutimizamalengo ya muda mfupi na mrefu.
Good, Crde karibu sana hapa tuchakate mada,

Watu hawataki kuamini yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan
 
Kila siku nazidi kumpenda Rais wangu,
Wakandarasi walikuwa wanalalamika sana,
Wazabuni nao walikuwa waishaichukia serikali,
Mimi ni CHADEMA ila mama ananikosha sana niko nae mpaka 2030 .
 
Unayohoja hoja mkuu ila usiogope deni ni stahimilivu kwa kipindi kifupi, chakati na kirefu hii ni kimataifa so relax nchi iko salama sana,
Kwa nchi ambayo watu wake bado masikini kama sisi ni muhimu sana kuogopa, na haswa pale tunapoona baadhi ya watendaji hawaoni huruma na kuzidi kufuja fedha za umma!!!
inapaswa watendaji wote wa Serikali waishi kulingana na uwezo wetu, wasitake kuishi kama vile nchi yetu ipo uchumi wa juuu!!
bado tuna changamoto lukuki, lazima sote tukaze mikanda, tunataka kuwaona viongozi wetu wakiwa mfano kwa hilo la kubana matumizi.
 
Kila siku nazidi kumpenda Rais wangu,
Wakandarasi walikuwa wanalalamika sana,
Wazabuni nao walikuwa waishaichukia serikali,
Mimi ni CHADEMA ila mama ananikosha sana niko nae mpaka 2030 .
😍😍 Endelea kumpigania mama hivyohivyo atatutoa kwenye tope lazima tuendelee kumtia moyo
 
Umeongea kitu cha msingi sana aise,
 
Bila Katiba Mpya na Tume HURU hakuna Mtanzania mwenye kujielewa atakaemuombea Samia labda kinafiki.
Mkuu katiba mama hajawahi kuikataa,
Niswala la muda tu tatizo nini?
 
We CHAWA weka namba ya ya simu tutakuteua kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa CHATO.
 
WATOTO WA UJERUMANI HAWA SIJUI WATAACHA LINI ILI TUKAJEGE UKUTA KWENYE HIFATHI ZA WANYAMA PAMOJA NA KUWEKA SCHEMU ZA UMWAGILIAJI

1. MBUGA YA MIKUMI

2.HIFADHI YA KATAVI

3. MLIMA KILIMANJARO

4. HIFATHI YA SEREGETI


 
Hongera Mama kwa kazi nzuri, watakuelewa tuu... muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…