FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Watakuja wote chama kimeshakufa

Hayo ndio matamanio yako cdm ife. Kwa bahati mbaya sana ccm sio chama cha kizazi hiki, hivyo hizo nguvu za dola haziwezi kuibeba ccm, wala kuiua cdm kwani kwetu cdm ni imani. Nadhani unazidi kuona jinsi wananchi wanavyopungua kwenye box la kura, baada ya kuona ccm wanalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti bila ridhaa yao. Huo ni ushahidi kuwa ccm sio chama cha kizazi hiki.
 
Reactions: BAK
Upo kama msukule vile hongera
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🙌🏾

 
Watanzania acheni kufanya wenzenu wajinga, ametoa kutoka wapi wakati ni kodi na hiyo mikopo tutalipa wenywe? wananchi tunakatwa kodi kubwa, kuna tozo kama zote kwenye simu, tozo kwenye kununua luku, achilia mbali zile za kimya kimya kwenye manunuzi ya petrol na VAT.
 
Urais ni taasisi mjomba mbona wagumu kuelewa nyie khaaa
 
Yaap mama,

Tuko nawewe mama go-go,
 
Mama hongera sana,
 
Amka usingizini, ni 2021 hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…