FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Acheni mapambio,,, Mwambieni atulipe malimbikizo yetu ya mishahara. Tangu ahidi may mosi mpaka Leo hakuna kilichofanyika halafu wewe unakuja kusifia hapa.

Yaani Watanzania tuna shida sana, unasifia kitu ambacho hakipo.
 
Safi sana Mhe Rais
 
Mama tuko na wewe,
 
😍😍
 
Hakuna kinachonishangaza aliyekopa ni CCM anayelilipa ni CCM kinachonishangaza hizo hela walizipeleka wapi ikiwa walijinadi nchi yetu ni "dona kantiri" hata athari yake isionekane hadi liwe deni mzigo kwa taifa???
Washangiliaji ni walewale utawala ni uleule.
#Katiba mpya
 
Utawala ni ule ule kivipi?
 
Acheni mapambio,,, Mwambieni atulipe malimbikizo yetu ya mishahara. Tangu ahidi may mosi mpaka Leo hakuna kilichofanyika halafu wewe unakuja kusifia hapa.

Yaani Watanzania tuna shida sana, unasifia kitu ambacho hakipo.
kada gani hamjalipwa?
 
mungu akubariki
 
Umeongea jambo zuri sana, Natamani wenye Serikali waone comment hii
 
Haya madeni yani aliyatengeneza ? maana aliyeondoka majuzi kati alisema tuna hela zimejaa na ndiyo maana tunanunua mandege kwa cash.
 
mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,

Huyu mama anastahili pongezi kubwa,
 
Haya madeni yani aliyatengeneza ? maana aliyeondoka majuzi kati alisema tuna hela zimejaa na ndiyo maana tunanunua mandege kwa cash.
Madeni haya yamekuwepo tangu uhuru chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…