nG'aMBu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,055
- 3,120
Sasa ndugu yangu, tunakuwa na waziri kama Mwigulu nchemba, unategemea tutapata sera nzuri za kupga hatua kiuchumi?Serikali za wenzetu zinawezaje kufanya mambo ya kunufaisha wananchi huku zikiendelea na miradi mingine ya kiteknolojia
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app