stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Mtu unajiandikia tu chochote kinachokuja kichwan..Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.
Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza Israel inatoa wapi Jeuri, uliza mchango wa Mataifa ya wavaa kobazi duniani ni upi zaidi ya Ugaidi
Maana ya GAIDI..?Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.
Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza Israel inatoa wapi Jeuri, uliza mchango wa Mataifa ya wavaa kobazi duniani ni upi zaidi ya Ugaidi
Usiwe unaropoka ropoka tu.Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.
Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza Israel inatoa wapi Jeuri, uliza mchango wa Mataifa ya wavaa kobazi duniani ni upi zaidi ya Ugaidi
Hakuna kitu kama hicho.Hapo ni kama Israel inamuuzia mchina tekinolojia Ili baada ya hapo mchina anaanza kufyatua mafamba Kwa bei kitonga.
Huyu jamaa huwa nadharau sana mada zake,ni za uongo uongo sana.Mtu unajiandikia tu chochote kinachokuja kichwan..
Kwanza zaidi ya 80% lazima wawe waislamu wanaoamini katika allah wao (ref: majina yao na jumbe zao)Maana ya GAIDI..?
Taja sifa 3 za GAIDI.
Nyoosha maelezo...Kwanza zaidi ya 80% lazima wawe waislamu wanaoamini katika allah wao (ref: majina yao na jumbe zao)
Pili, lazima wawe tishio kwa usalama wa raia, au serikali ya nchi yao, au nchi jirani
Tatu ni watu wasiopenda amani kwa gharama yeyote ile
Kumbe wewe dogo ni mropokaji hivi!??Kwanza zaidi ya 80% lazima wawe waislamu wanaoamini katika allah wao (ref: majina yao na jumbe zao)
Pili, lazima wawe tishio kwa usalama wa raia, au serikali ya nchi yao, au nchi jirani
Tatu ni watu wasiopenda amani kwa gharama yeyote ile
Umeona GAIDI tu kwenye hii post ?Maana ya GAIDI..?
Taja sifa 3 za GAIDI.
Huyo dogo wa kumpuuza.Nyoosha maelezo...
1. Gaidi ni 80% Muslim...? au Gaidi = Muslim..?
2. Hao wanaotishia usalama wa Taifa wakiwa ni Waislamu ni magaidi, je wakiwa si Waislam tunawaitaje...?
3. Unarudia maelezo...wasiopenda amani = Tishio kwa usalama wa Taifa (2).
NB: Itapendeza ukitaja na reference ya majibu yako...kama ni KAMUSI au ni kwa mujibu wa U.S.A au chanzo ni wewe mwenyewe.
CHUKI HAISADII, TOA MAJIBU BILA CHUKI.
Unapinga ukweli na kichwan unajuwa huez tenganisha UGAIDI na UISLAM ni mapacha , Mtu akiwa muislam anamchukia hata mama yake iwapo sio muislamNyoosha maelezo...
1. Gaidi ni 80% Muslim...? au Gaidi = Muslim..?
2. Hao wanaotishia usalama wa Taifa wakiwa ni Waislamu ni magaidi, je wakiwa si Waislam tunawaitaje...?
3. Unarudia maelezo...wasiopenda amani = Tishio kwa usalama wa Taifa (2).
NB: Itapendeza ukitaja na reference ya majibu yako...kama ni KAMUSI au ni kwa mujibu wa U.S.A au chanzo ni wewe mwenyewe.
CHUKI HAISADII, TOA MAJIBU BILA CHUKI.
Kabla hujaniquote ilibidi uelewe kilichoandikwa kwanza... Unajua maana ya "zaidi ya asilimia 80"? Pointi yako ya pili inabebwa na hiyo 20% iliyobakiNyoosha maelezo...
1. Gaidi ni 80% Muslim...? au Gaidi = Muslim..?
2. Hao wanaotishia usalama wa Taifa wakiwa ni Waislamu ni magaidi, je wakiwa si Waislam tunawaitaje...?
3. Unarudia maelezo...wasiopenda amani = Tishio kwa usalama wa Taifa (2).
NB: Itapendeza ukitaja na reference ya majibu yako...kama ni KAMUSI au ni kwa mujibu wa U.S.A au chanzo ni wewe mwenyewe.
CHUKI HAISADII, TOA MAJIBU BILA CHUKI.
Hahahaaah! Ukishavimbiwa makande ya asubuhi unadhani kila comment ni ya kuquote bila kutumia akili?Kumbe wewe dogo ni mropokaji hivi!??
USA kuivamia Vietnam je haipaswi kuitwa gaidi!?
USA kufadhili mapinduzi Egypt je haikupaswa kuitwa gaidi!?
USA kufadhili blood diamonds DR Congo je haikupaswa kuitwa gaidi!?
USA kutumia Marshall Islands kama sehemu ya majaribio ya silaha za maangamizi je haikupaswa wao kuitwa magaidi!???
Nadhani we umtoto kama sio miaka 15 au basi hujaimaliza hata balehe.
Pole sana kijanaUnapinga ukweli na kichwan unajuwa huez tenganisha UGAIDI na UISLAM ni mapacha , Mtu akiwa muislam anamchukia hata mama yake iwapo sio muislam
Unanipangia cha kuzungatia...?Umeona GAIDI tu kwenye hii post ?
Yaani hata hilo unataka source? Kama ni mtu unayeishughulisha akili tako, hilo lipo wazi sana.Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?