FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

stormryder

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
3,776
Reaction score
5,786
Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.

Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza Israel inatoa wapi Jeuri, uliza mchango wa Mataifa ya wavaa kobazi duniani ni upi zaidi ya Ugaidi
 
Mtu unajiandikia tu chochote kinachokuja kichwan..
 
Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.

Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza Israel inatoa wapi Jeuri, uliza mchango wa Mataifa ya wavaa kobazi duniani ni upi zaidi ya Ugaidi
Maana ya GAIDI..?
Taja sifa 3 za GAIDI.
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
 
Kwanza zaidi ya 80% lazima wawe waislamu wanaoamini katika allah wao (ref: majina yao na jumbe zao)

Pili, lazima wawe tishio kwa usalama wa raia, au serikali ya nchi yao, au nchi jirani

Tatu ni watu wasiopenda amani kwa gharama yeyote ile
Nyoosha maelezo...
1. Gaidi ni 80% Muslim...? au Gaidi = Muslim..?
2. Hao wanaotishia usalama wa Taifa wakiwa ni Waislamu ni magaidi, je wakiwa si Waislam tunawaitaje...?
3. Unarudia maelezo...wasiopenda amani = Tishio kwa usalama wa Taifa (2).

NB: Itapendeza ukitaja na reference ya majibu yako...kama ni KAMUSI au ni kwa mujibu wa U.S.A au chanzo ni wewe mwenyewe.

CHUKI HAISADII, TOA MAJIBU BILA CHUKI.
 
Kumbe wewe dogo ni mropokaji hivi!??
USA kuivamia Vietnam je haipaswi kuitwa gaidi!?
USA kufadhili mapinduzi Egypt je haikupaswa kuitwa gaidi!?
USA kufadhili blood diamonds DR Congo je haikupaswa kuitwa gaidi!?
USA kutumia Marshall Islands kama sehemu ya majaribio ya silaha za maangamizi je haikupaswa wao kuitwa magaidi!???

Nadhani we umtoto kama sio miaka 15 au basi hujaimaliza hata balehe.
 
Huyo dogo wa kumpuuza.
Nimemuona thread nyingine ni anaandika utumbo balaa.
Asikupotezee muda.
 
Nyoosha maelezo...
1. Gaidi ni 80% Muslim...? au Gaidi = Muslim..?
2. Hao wanaotishia usalama wa Taifa wakiwa ni Waislamu ni magaidi, je wakiwa si Waislam tunawaitaje...?
3. Unarudia maelezo...wasiopenda amani = Tishio kwa usalama wa Taifa (2).

NB: Itapendeza ukitaja na reference ya majibu yako...kama ni KAMUSI au ni kwa mujibu wa U.S.A au chanzo ni wewe mwenyewe.

CHUKI HAISADII, TOA MAJIBU BILA CHUKI.
Unapinga ukweli na kichwan unajuwa huez tenganisha UGAIDI na UISLAM ni mapacha , Mtu akiwa muislam anamchukia hata mama yake iwapo sio muislam
 
Nyoosha maelezo...
1. Gaidi ni 80% Muslim...? au Gaidi = Muslim..?
2. Hao wanaotishia usalama wa Taifa wakiwa ni Waislamu ni magaidi, je wakiwa si Waislam tunawaitaje...?
3. Unarudia maelezo...wasiopenda amani = Tishio kwa usalama wa Taifa (2).

NB: Itapendeza ukitaja na reference ya majibu yako...kama ni KAMUSI au ni kwa mujibu wa U.S.A au chanzo ni wewe mwenyewe.

CHUKI HAISADII, TOA MAJIBU BILA CHUKI.
Kabla hujaniquote ilibidi uelewe kilichoandikwa kwanza... Unajua maana ya "zaidi ya asilimia 80"? Pointi yako ya pili inabebwa na hiyo 20% iliyobaki

Kuhusu reference nimekwambia rejea majina yao na ya makundi yao pamoja na jumbe zao ambazo asilimia kubwa zimeambatana na uislamu/uarabu.

Kuhusu kuhatarisha usalama wa taifa na kutokupenda amani ni vitu viwili tofauti. Ukihitaji nikudadavulie nitakwambia
 
Kumbe wewe dogo ni mropokaji hivi!??
USA kuivamia Vietnam je haipaswi kuitwa gaidi!?
USA kufadhili mapinduzi Egypt je haikupaswa kuitwa gaidi!?
USA kufadhili blood diamonds DR Congo je haikupaswa kuitwa gaidi!?
USA kutumia Marshall Islands kama sehemu ya majaribio ya silaha za maangamizi je haikupaswa wao kuitwa magaidi!???

Nadhani we umtoto kama sio miaka 15 au basi hujaimaliza hata balehe.
Hahahaaah! Ukishavimbiwa makande ya asubuhi unadhani kila comment ni ya kuquote bila kutumia akili?

Hebu niletee "5 publications" zinazomuonesha US km gaidi then tuendelee na ubishani wetu
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
Yaani hata hilo unataka source? Kama ni mtu unayeishughulisha akili tako, hilo lipo wazi sana.

Na ilikwishatangazwa mara nyingi na vyombo vya habari vya kimataifa, pale China ilipofanikiwa kununua tekinolojia ya mawasiliano toka Israel, baada ya kugonga mwamba kuipata tekinolojia hiyo toka USA.

Ufahamu kuwa Israel inauza silaha kwa mataifa mengi, mpaka ya kiarabu. Inauza silaha pua kwa Marekani, japo yentewe inanunua nyingi zaidi katika thamani kutoka Marekani. Israel inatenfeneza mpaka het fighters. Ni nchi ndogo katika ukubwa wa eneo na idadi ya watu, lakini ni kubwa sana katika tekinolojia.

Chukua na hiyo"

"Meanwhile, one distinct advantage Israel holds is its air force, considered one of the most advanced in the world."

Hivyo msishangae Iran kupigwa na marubani wanawake. Hawa waisrael katika tekinolojia ya vita vya anga wapo juu sana.

Back
Top Bottom