Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

Sasa huyo Gaddafi angemwi-islamise nani maana mimi ata uniahidi inanipa nusu ya utajiri wa dubai siwezi kuwa muislamu.
You will be amaized hela inavyo mbadilisha mtu
 
Biblia kwa nyuma Ina kurasa za tafsiri ya maneno magumu,imeandika sinagogi ni msikiti wa wayahudi,we unakuja mkosoa mazinge,siku hizi nasikia wamebadili tafsiri wameandika hekalu la wayahudi
 
Nyerere alimsaidia Obote kwenye nini? Kumpa hifadhi ya ukimbizi?

Sababu pekee inayotajwa kama sababu ya ukaribu wa Obote na Nyerere ni EAC. Nyerere alimwamini zaidi Obote kuliko hata Mzee Jomo Kenyatta kwenye masuala ya EAC.
Obote hakurudi madarakani Uganda!?..kwa nini baadae Nyerere alimuunga mkono Godfrey binaisa badala ya Yusuf lule!?..unadhani nini kilimsukuma!?..ni u-master wa siasa wa Yusuf lule ndiyo uliomfanya aingie ikulu Uganda,Nyerere akimsindikiza airport bila kuongea toka ikulu,walipojitenga wakatoliki kule Nigeria,tukawa wa pili kuitambua nchi yao wa kwanza wakiwa Vatican,alikua motivated na nini!?
 
Gaddafi na jamahiriya yake hakuwa na agenda za dini Bali kuikomboa nchi yake kiuchumi,hujapona udini,huwezi nidanganya, Gaddafi aliongoza kwa sheria za kiislam tangu alipopindua!?..waliomuaa Gaddafi ni majasusi wa ufaransa waliotumwa personally na rais wa ufaransa,uwe unafuatilia mambo
 
Biblia kwa nyuma Ina kurasa za tafsiri ya maneno magumu,imeandika sinagogi ni msikiti wa wayahudi,we unakuja mkosoa mazinge,siku hizi nasikia wamebadili tafsiri wameandika hekalu la wayahudi
Sinagogi na msikiti ni sawa?
 
Mtu mweusi wengi wao usiwapiganie, watakutia tu dosari.

Mtu mweusi amekaa kulalamika lalamika, kifitina fitina na kiunafiki nafiki.
 
Sasa huyo Gaddafi angemwi-islamise nani maana mimi ata uniahidi inanipa nusu ya utajiri wa dubai siwezi kuwa muislamu.
Mkuu hivi sasa pengine ungekuta unaitwa Nassoro.
 
Sinagogi na msikiti ni sawa?
Jamatini ni msikiti wa wahindi,huwa wanasujudu kule na kunawa maji,labda wayahudi nao husujudu na kunawa maji miguu Kama yesu alivyokua akifanya,Kama ndivyo basi kila panaposujudiwa ni msikiti kwa lugha ya kiarabu (masjid)..lakini pia nilizungumzia kurasa za nyuma za bible ile ya iliyotumika 1990s,kwamba kule kulieleza kuwa sinagogi ni msikiti wa wayahudi,siyo kosa la mazinge Bali waluotafsiri bible
 
Sasa huyo Gaddafi angemwi-islamise nani maana mimi ata uniahidi inanipa nusu ya utajiri wa dubai siwezi kuwa muislamu.
Wewe hakuna hata wa kukuahidi tende. Ukiwa muislam una impact gani kwenye huo uislam?
Labda Mwamposa anaweza kuahidiwa kitu siyo wewe hata mia huna eti nusu ya utajiri wa dubai, labda Dubai ya gamboshi kwenye matunguli.
 
Keeping constant (ceteris paribus) other things, Gaddafi was a good leader.

But his hidden agenda was to Islamise all Africans. He disliked so much christians.
Umekurupuka au....
Source ya habr yako plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…