Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Mbona wamevuruga sana vipindi
Hao at dozen jahaz mchomvu
Pb dhaaa kilicho na mwanzo hakikos
Mwisho

god is good
 
Huo mvurugo wa vipindi sijui ndio creativity au ni kutafuta tension tu baada ya kuona graph inashuka?
But wamefanya vema juu ya ngoma hio ya jide.

son of almighty God.
Una kapicha ka graph kushuka? Au unabwabwaja tu.
 
Umeshakuja mzee wa Spartacus Ze mnyama mkali?
Acha uzembe tumia akili yako au search kwenye platform mbalimbali au TCRA.
Mimi sio mzazi wako nikutafunie kila kitu,so chukua hiyo hint muhimu.

son of almighty God.
Lete kapicha mkuu kwa faida ya Wengi
 
Funguka, kaka. Sisi wa Kolomije unatuacha njia panda.
 
wasafi media imeleta mapunduzi makubwa sana. inabidi wapige kwasabau hata wakiacha haina tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nani ambaye ni mzuri? Wewe kwa nafasi yako ambayo hata hujulikani umeliza wangapi?
Jay D pia ni mtu anayejisikia... Unakumbuka shabiki zake walimpigia kura akaondoka na tuzo kadhaa za kilimanjaro music awards, ila akaishia post "Hivi tuzo zishafanyika eti.... ah mimi sikujua kama zimefanyika." Ikiwa ina maana alidharau hizo tuzo wakat mwaka mmoja uliopita alikuwa pia kachukua na akazunguka nao kupiga show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…