Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Siyo dharau mkuu. Ni stress,

Dada ana msongo Wa mawazo hivyo alikuwa anajifariji kwa Ku down play issues na Ku attack watu.

Ile ni mental disoder iliyotokana na stress..

I hope sasa hivi amerejea utimamu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Mario wote wa Town hawamuoni Lady JayDee? Au hawamuoni Bi Mkubwa kama yupo single?
 
Kwahiyo huyo mmiliki wa clouds hapo ndo yupi....!?
Na anamilikije wasafi media.!!?

Mwite huyo chizi atoe ufafanuzi.
Huyo mwenye hisa 53% hapo ni mke wa Joseph kusaga, kwahyo wanaamini kuwa hapo yupo kwa kivuli cha kusaga mwenyewe na ndiye anayeratibu kila kitu,hata hivyo inaaminika bifu ya diamond na clouds media imepangwa kibiashara zaidi kwani kama mmiliki wa media zote ni mmoja why kuwe na kutoelewana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just a share owner... Sio mmiliki.
 
Clouds Fm ni watu wenye hekima sana na wenye huruma na upendo sana


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Zungumza kwa marefu mkuu
 

Isije ukawa umeaminishwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…