Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hamna lolote kasoma Arusha Technical College anajiita msomi!
Arusha college chuo cha waganga WA kienyeji??mbona MNA dharau mkuu

Pengine kuna NDUGUYO alikusomesha kupitia hukoo
 
Kwa hiyo Mimi ni Gambo 😂😂😂😂

Anaeamua mchujo ni Rais na si vinginevyo.

Kimsingi Bashite ni brainless ni mbulula tuu ndio wanamsapoti.

Mwisho Gambo ni Tiss sio lazima awe Mbunge.
Eti TISS ndio anavyowadanganya.Hawezi kuwa mbunge.Hana sifa ya kuwa Mbunge. CCM walifanya makosa makubwa.Hayatarudiwa.
 
acha wakulane
 
Kuna mlio bado haujatoka, nausikilizia hapa sijui nani atautoa
 
Ndio kasoma hapo akaajiriwa na Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Ninamaanisha aliesoma Arusha collage sio msomi

Ama msomi kwako n level gani
 
Atusha haiendelei kwa sababu ya politics za kujinufaisha, rushwa na migogoro isiyo na mbele wala nyuma
 
Noma sana!
 
Kwa maoni yangu Makonda aje huku usukumani agombee ubunge.
Tunamhitaji.
Arusha amuachie Gambo kwani kufanya kazi ya kutukuka kama mbunge.
 
Paul Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili, yeye ndiye mwenye shida. Anaingilia majukumu ya Mbunge ktk namna ya hujuma kwa kutumia madaraka yake ya ukuu wa mkoa kumhujumu mbunge aliyechaguliwa na wananchi...

Anafanya hivi kwa sababu naye anautaka ubunge akidhani anaweza kuupata...

Na hii tabia, ndiyo iliyomponza mwaka 2019 akiwa RC wa DSM wakati huohuo akilitamani jimbo la Kigamboni ambalo alishindwa kwenye kura za maoni tu ndani ya chama chake na kwa sababu hiyo akaukosa ubunge na kuupoteza ukuu wa mkoa kwa wakati mmoja...

Paul Makonda hawezi kuwa mbunge wa Arusha hata afanyeje...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…