Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa ifike mahali elimu ya Makonda,iwekwe hadharani.

Tusipofanya hili jambo mapema tutakuja kuzalisha waziri mkuu kilaz...a
Hao mawaziri wenye CV kubwa ya elimu wametufanyia nini au wameifanyia nini Taifa?
 
Kwa kumalizia, Gambo amekumbusha kuwa yeye ni mbunge anayetekeleza majukumu yake kwa manufaa ya wananchi wa Arusha Mjini, na hakutakuwa na mtu yeyote atakayemzuia kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu.
Nilisema huyu Mwamba lazima arushe makombora yake hataki ujinga hahaha DAB shule yake ina mashaka?
 
Ng9ja tuone nani ataanza kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…