Gamondi aambiwe ukweli plan za klabu bingwa sio kama unaenda kucheza na Dodoma jiji

Yaani bado hamjasema,subiri tar 2
 
Mm naangalia nafas ambazo hazikutumika vizuri.
Na penati tukanyimwa
Kupoteza nafasi ni sehemu ya mchezo huwezi kitumia kila nafasi unayo ipata maana hata waarabu walipata nafasi nyingi ambazo na wao wangezitumia vizuri magoli yangekuwa mengi zaidi.

Waarabu walicho kifanya walicheza na saikolojia ya wachezaji wa yanga kwa kuwaachia mpira wacheze ili waaminishe kuwa wao ni dhahifu.
 
Hapo umemkosea heshima huyo kocha.

Fuatilia cv yake. Kwshaifundisha hata CRB kama sikosei.

Kimataifa ana uzoefu kuliko timu ya Yanga kama unaelewa nachosema.
 
Au sio?. Saikolojia wakati walipigiwa mbungi laivu. Wale walipoteana mkuu. Nasema kuhus nafas mana tulitengeneza nafas nyingi zaidi Yao. Mm sioni haja ya kutoa kila neno hapa mana wewe umejiandaa kulenga matokeo zaidi. Ndo mana kila hoja lazima ilenge matokeo ya jumla.

Oke, na ukijichanbganya Tena tunakupiga Tena zilezile, palepale kwa nkapa
 
Hapo umemkosea heshima huyo kocha.

Fuatilia cv yake. Kwshaifundisha hata CRB kama sikosei.

Kimataifa ana uzoefu kuliko timu ya Yanga kama unaelewa nachosema.
Ata national al haly wenyewe ugenini awawezi cheza vile yani unafunguka mpaka ma gap yanaonekana..kingine yanga aina forward wa kuweza kuisaidia timu kimataifa
 
Mm naangalia nafas ambazo hazikutumika vizuri.
Na penati tukanyimwa
Penati hazitolewi kirahisi namna ile weewe. Halafu uliona ule mpira alipiga mchezaji wa Yanga ukawa unaelekea kwa mchezaji wa CRB ukamgonga refa, halafu refa akawapa Yanga?
 
Penati hazitolewi kirahisi namna ile weewe. Halafu uliona ule mpira alipiga mchezaji wa Yanga ukawa unaelekea kwa mchezaji wa CRB ukamgonga refa, halafu refa akawapa Yanga?
Ile tafsiri yake ni kwamba kaharibu direction ya pasi ya mchezaj wa yangaz whether ingempata yanga mweznie au ingetoka. Una hakika gan kama hiyo mchezaji Ea CRB angeicontrol vizur
 
Mkuu haya mashindano yanahitaji akili kuliko mbwembwe, unakumbuka kilicho mkuta Simba alipo jitia kucheza haya mashindano kwa pila biliani?
Kweli mkuu
 
Ile tafsiri yake ni kwamba kaharibu direction ya pasi ya mchezaj wa yangaz whether ingempata yanga mweznie au ingetoka. Una hakika gan kama hiyo mchezaji Ea CRB angeicontrol vizur
Aiseee. Yaani umeenda mbali hadi kuhoji kama angecontrol vizuri 🤣😂🤣

Refa hakuharibu direction ya mpira bali aliublock mpira uliokuwa unamkaribia mchezaji wa CRB na hakukuwa na mchezaji wa Yanga karibu. Kwenye hali kama zile refa hatakiwi kuangalia mpira umetoka kwa nani bali ulikuwa unakwenda kwa nani.

Kama umeshindwa kuwa mkweli kwenye hilo tutawezaji kuamini uko mkweli kwenye mengine?
 
Timu iliyo poteana ufunge mabao 3 alafu ww uliye wapoteza utoke kapa.

Acha ubishi mkuu yanga ikiendelea kucheza mchezo wa aina hii wataendelea kuambulia vipigo.
Haya mashindano yanahitaji akili na timeng na sio mbwembwe.
 
Dua lako liwe lingi saaaasa. Maba yanga ikishinda uarabuni wanaumia watanzania Tandale
 
Mimi ni shabiki wa simba ila game ya jana mtani kweli kajisahau kaiisi anacheza na simba hii butu,, japo wale jamaa nao ni wazuri yani walikamata wale wachezaji wenu wote ambao ni tishio na shughuli ikaishia hapo!!!

Bado yanga hana uzoefu na hii club bingwa muwache mbwembwe!!!

Na sub ilitakiwa kufanyika niya musonda mudathir pale kati alipaweza..... all in all hii ndo football mrudi mjipange na huyu muhuni al ahly!!!! Hongereni kila mtu ashinde nyumbani kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…