Gamondi aambiwe ukweli plan za klabu bingwa sio kama unaenda kucheza na Dodoma jiji

Inasaidia nini kutuambia kuwa wewe ni Simba.
 
Na ndio uhalisia wa mpira na maisha kiujumla,,,kupoteza kupo Tu haijalishi Una Mbinu na ubora kiasi gani?kwani wewe tukija kwenye uhalisia wa mapambano yako ya kimaisha unashindaga yote??Hio ndio Raha na karhaa za misukosuko ya maisha yetu ya kila siku!!
 
Sasa nimemuamini Robertinho tena sn no show game just results
 
Hakuna saikolojia mkuu, kila kocha anataka kumiliki mpira lakini ndio uwezo unatofautiana, timu zote zinajua zikiweka mpira chini sio rahisi kupishana na yanga
 
Timu iliyo poteana ufunge mabao 3 alafu ww uliye wapoteza utoke kapa.

Acha ubishi mkuu yanga ikiendelea kucheza mchezo wa aina hii wataendelea kuambulia vipigo.
Haya mashindano yanahitaji akili na timeng na sio mbwembwe.
Tutacheza mchezo wetu ule ule na tutatoboa.
 
Gamondi hii siyo mara yake ya kwanza kucheza CAF CL
 

Unamuingilia kocha kwenye mipango yake.
 
Haya nyie wazoefu wa michuano hii ya CAF na wataalamu wa kujilinda zaidi, mmeshindwa nini leo kulinda hako ka gori kenu ka penalty ili kumaliza mchezo na 3 points ?
 

Gamondi ni kocha mzuri, na yanga jana wamecheza vizuri tu
 
Una leseni daraja gani tukupe timu?
 
Nabi kacheza club bingwa na yanga na far Rabat katolewa mechi ya kwanza ,unaongea usichokijua kabisa.
 
Yanga haina mpira wa kwenda popote Kimataifa. Strikers Musonda na Mzize halafu uende kucheza Champions League. Ngoja akili ziwakae sawa. Wao kumfunga Simba yale magoli ya Kununua wakadhani wameahinda Makundi ya CAF sasa wameanza kukojozwa
Wabongo mna maneno, ndo kwanza kunapambazuka. Tujipe muda matokeo ya mpira niyakushangaza mnoo
 
Yanga haina mpira wa kwenda popote Kimataifa. Strikers Musonda na Mzize halafu uende kucheza Champions League. Ngoja akili ziwakae sawa. Wao kumfunga Simba yale magoli ya Kununua wakadhani wameahinda Makundi ya CAF sasa wameanza kukojozwa
So Simba imeuza mechi kwa Yanga, Namungo, ASEC Memosas?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…