Gamondi aambiwe ukweli plan za klabu bingwa sio kama unaenda kucheza na Dodoma jiji

Clip za mashindano ya Shirikisho ndo atumie hizo mbinu? Mnasahau kuwa Yanga ni wageni na ndo wanatengeneza uzoefu mpya. Timu ya Yanga ipo vizuri, jana wamecheza vizuri sana ila mashindano haya ni wageni mno.
Kwahiyo game plan ya shirikisho haiwezi kutumika kwenye champion league hivi una akili timamu? Umesahau usm alger ambaye anaenda kucheza klabu bingwa ya dunia alichukua ubingwa wa shirikisho mbele ya yanga kwa sheria tu ya goli la ugenini? Halafu walipokutana bingwa wa champion league ambaye ni al ahly na bingwa wa shirikisho ambaye ni usm alger matokeo ni kwamba al ahly alipigika?
 
Ok, akachukue hizo clip.
 
Ata national al haly wenyewe ugenini awawezi cheza vile yani unafunguka mpaka ma gap yanaonekana..kingine yanga aina forward wa kuweza kuisaidia timu kimataifa
Hili swala la forward nilishaliongea sana ila kwakuwa mapenzi ni upofu anatokea mtu anakuambia yanga imejengwa kwa mfumo wa kila mchezaji kufunga... unawacheka simba kuwa na wazee halafu unafurahia kuwa na wachèzaji wa viwango vya kawaida kama musonda,mzize na konkon
 
kwa akili yako unadhani kwamba wewe unamzidinakili na ufundi gamondi?
 
mbwembwe zipi walionesha yanga,tuache makocha wafanye kazi yao
 
Kesho Yanga ikishinda mtageuza maneno, kwani ni lazima magoli yafungwe na forward?
 
We fala Dodoma jiji unaichukuliaje? Acha dharau
 
Poor goal keeping and goal scoring technics, mashuti mengi yalikuwa yanamlenga kipa pia kipa wa yanga namba 2 Hana mazoezi yakutosha Bora watafute mwingine km hawezi kujituma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…