mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Au NgushiDube hapana kwa kweli. Bora angebaki Guede
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au NgushiDube hapana kwa kweli. Bora angebaki Guede
Mimi sio yanga lakini gamond tumpe maua yake,mechi nane kashinda bila kuruhusu bao hata Moja,alafu Kuna mtu anamlaumu?we sio mtu wa soka brooNa hicho ndicho kimefanya niandike huu Uzi mkuu,lakini vichwa maji wanabaki kunishambulia!
Mfumo wa Yanga ulishaanza kumchezesha Guede, na yeye aliitika. Naamini dirisha dogo kuna mabadilishano yataanyika kuhusu Guede na Dube, ni vizuri Dube akafanyie kazi kiwango chake sehemu nyingine. Aziz K pia wangeangalia namna ya kumpeleka kwa mkopo katika moja ya Club kubwa zilizokuwa zikimhitaji, huenda ikamsaidia kuamka.Dube hapana kwa kweli. Bora angebaki Guede
Simlaumu Kwa kutokufungwa goli hata moja,namlaumu Kwa namna timu inavyocheza vibaya!Mimi sio yanga lakini gamond tumpe maua yake,mechi nane kashinda bila kuruhusu bao hata Moja,alafu Kuna mtu anamlaumu?we sio mtu wa soka broo
Inawezekana kuna mahala amekosoa, lakini uchambuzi wake una logic sana na imeonyesha ni mtu wa soka hasa.Mimi sio yanga lakini gamond tumpe maua yake,mechi nane kashinda bila kuruhusu bao hata Moja,alafu Kuna mtu anamlaumu?we sio mtu wa soka broo
na siku hizi vichwa maji vimejaa humu.Na hicho ndicho kimefanya niandike huu Uzi mkuu,lakini vichwa maji wanabaki kunishambulia!
Watu wanapenda ligi iwe kama bundersliga kila siku Bayern tuNina swali Moja hivi Yanga wangeshinda magoli Zaidi ya mbili ,je ungeandika hayo?
Nini kimekusukumq kuandika hoja hizo za kumnanga kocha?
Kwann basi usifikiri na mpinzani wako kama naye ame improve kulinganisha na mwakajana?
Kuna wakati tujifunze ku appreciate ubora wa vilabu vingine vinavyofanya vizuri dhidi yenu.
Mkude wa Yanga ni tofauti kabisa na yule wa Simba, Mkude amekuwa tofauti sana na yule wa kwenye story za SimbaUmezungumza kweli ila kwenye kumchezesha Mkude inataka moyo!! Mkude ni mchezaji mzuri sana ila pia ni mzuri kwa kukosa nidhamu!! Mkude pamoja na uzuri wake si rahisi kwenda sambamba na makocha wa kisasa wanaotoa kipaumbele kwenye nidhamu halafu kabla ya kuangalia uhodari wa m,tu kwenye soka! Kilichomtoa Mkude Simba si kushuka kwa kiwango bali ni kushuka kwa nidhamu kwa kiwango kikubwa!! Mkude anaweza asihudhuriue mazoezi bila sababu ya msingi au asiripoti kambini kwa wakati, au azozane na viongozi pamoja na wachezaji wenzake!! Simba yaliwashinda. je yanga mtayaweza??. Wewe ungekuwa kocha ungempanga mtu kama huyo?
Ngoja nami nikusidie hao wachezaji woote uliowataja kocha si kawakuta kwenye timu ,yeye Kuna vitu anaamini ndio mana yupo katika tim mpaka Leo,Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na tabia ya mashabiki hoya hoya wa Yanga ambao wengine tunapojaribu kutoa ushauri nini kifanyike wamekuwa wakitishambulia!
Ni shabiki mjinga na mwehu pekee ambaye anaona Yanga ya Msimu huu inacheza vizuri kuliko ya msimu uliopita!
Binafsi nikiwa kama shabiki na mwanachama hai wa klabu yangu Yanga huwa nasikitika sana kuona ninapozungumza ukweli naishia kushambuliwa na mashabiki ambao kila uchwao wanataka uongo uwe ukweli ya kwamba Yanga Kwa sasa inafanya vizuri!
Msimu wa Mwaka Jana tumekuwa na msimu mrefu sana na msimu Bora kuliko misimu yote ambayo Yanga imewahi kushiriki!
1. Mabingwa ligi kuu
2.Mabingwa kombe la FA
3.Robo fainali ya klabu Bingwa Afrika
Haya yalikuwa ni mafanikio makubwa mno Kwa msimu uliopita!
Msimu huu umeanza na tunamshukuru Mungu timu yetu ilianza vema kwenye mechi zake za kirafiki na kupelekea hadi kutwaa kombe la Kimataifa la Toyota liliandaliwa na Kampuni ya Utengenezaji wa magari ya Toyota kule Afrika kusini!
Nikiangalia Yanga namna ilivyocheza kwenye ngao ya Jamii dhidi ya Simba na Azam nadiriki kusema ile ndiyo ilikuwa Yanga ya Msimu uliopita!
Msimu huu timu haina hali kabisa na haichezi Kwa umoja,kila Mchezaji anacheza kivyake,sielewi ni mfumo mpya au bado timu haija-kliki!
Timu inashinda lakini bado unaona kabisa Kuna kitu kimepungua,na ndiyo maana wapinzani wetu wanasema tunashinda Kwa "Papatu papatu" .Yaani huoni timu ikitengeneza nafasi za kutosha na kuzitumia
Msimu uliopita Yanga haikuwa na Striker zaidi ya Musonda na Mzize,lakini ndiyo timu iliyoongoza kufunga magoli mengi kuliko timu yeyote,msimu huu timu imesajili Strikers kama Prince DUBE,Jean Baleke Ili kuja kuipa timu nguvu kwenye ufungaji lakini hadi Sasa huyo DUBE hana goli hata moja,na Kwa namna ninavyomuona,huenda msimu huu ukawa mbaya zaidi kwake!
Binafsi naona uwezo wa Gamondi umefika mwisho (Huo ndiyo ukweli,mkitaka kuniua njooni mniue)
Sababu za kutokuwa tena na Imani Kwa Gamondi
1. Haiwezekani Mchezaji kama Aucho anaonekana kabisa kiwango kimeshuka na Gamondi kuendelea kumng'ang'ania tu kama mkewe,yawezekana Mchezaji kacheza mechi nyingi na kachoka ila Gamondi kakomaa naye tu utadhani hatuna wachezaji wazuri!
Aucho Kwa sasa akicheza mnaomba Mungu asije akapewa kadi nyekundu kwasababu amekuwa na hasira za kipumbavu hata kama kosa unaona kabisa kafanya yeye,kwasasa anashindwa kabisa kutumia akili ya kimpira anatumia nguvu na hasira kama za UMUGHAKA!
Sababu za Gamondi Kutomchezesha Mkude au Sureboy ni zipi? Ni lini amempanga Sure boy au Mkude akamfelisha?, sikumbuki mechi hata moja labda mtanisaidia nyie!
Huyo huyo Aucho alipokuwa na Majeraha kwenye mechi zote mbili dhidi ya Mamelod akicheza Mkude na kila mtu mwenye macho aliona na kushuhudia shughuli ambayo Mamelod walikutana nayo!,Hakuna hata mechi moja kati ya hizo mbili ambayo Mkude alipewa hata kadi ya njiano (Jamaa huwa anakaba Kwa akili na siyo nguvu)
OK!,tuachane na hilo
Leo amekuja kuua kiwango Cha Kibwana shomari na kumfanya eti Cha Ufupi na Mbilikimo Nkane acheze nafasi ya beki namba 2, Seriously?, Nkane huyu huyu ndiye ambaye tunategemea kwenda nae kwenye Michuano ya Klabu Bingwa endapo wachezaji wakiwa na majeruhi?,kabisa tunataka kuchukua kombe la klabu Bingwa Afrika Kwa kumfanya Nkane beki namba 2?
Nkane ni Mchezaji mzuri anapocheza mbele kwasababu huwa anateleza kama nyoka,huko nyuma hakumfai hata kidogo,ni vile tu sema tuna Beki za kati nzuri ambazo zinaziba madhaifu!
Nani haujui uwezo wa Faridi Musa?,huyu nae Gamondi kaua kiwango Chake bila sababu za Msingi!
Kila mechi kakomaa na DUBE tu wakati Kuna Baleke nje,Huyo DUBE umempa nafasi Mechi za Kutosha na hakuna Cha Msingi alicho ofa,kwanini asimpe Baleke hata dakika 90 Kwa mechi 3 tu tuone naye uwezo wake Ili kila mtu ahukumu mwenyewe?
Aziz KI sijajua mkataba wake unatamka kitu gani lakini Binafsi ningekuwa Kocha Gamondi,Aziz KI angesugua Benchi hadi Tako ziote kutu,yawezekana ametumika sana na uenda kachoka,kwanini usimpumzishe?,kwani hakuna wachezaji wengine?,ni shabiki gani aniambie Aziz KI msimu huu amecheza vizuri?,kwanini asiweke wachezaji wanaofanya vizuri Kwa Sasa na hao wanaoendelea kunitafuta wakawa wanaingia baadae Ili ku-gain momentum taratibu?
Aziz KI akiwa ndani ya dimba hakuna anachokifanya,ila akipumzishwa ndiyo anajifanya kama kocha Kwa kuwaelekeza wenzie,wakati akiwa ndani mbona hayo anayowaelekeza wenzie hakuyafanya yeye?,vishuti anavyopiga Sasa hivi utadhani vya mtoto mdogo!
Huyo Boka binafsi ndiyo amenitoka kabisa kwenye akili yangu hata kabla msimu kumalizika!,Mchezaji kazi yake ni mbio tu hana kitu kingine Cha ziada anacho ki-offer Kwa timu!
Goli la juzi limesababishwa na yeye Boka Kwa kutokukaba,jamaa anapanda sana na anashindwa kurudi kukaba,hivyo kuwapa kazi mabeki wa kati!
Ukitaka kujua Utofauti wa Boka na Kibabage angalia mechi ya juzi,yaani unaona kabisa Kibabage alipoingia na mchezo ulibadilika,Kibabage ana mapungufu kidogo tu ya kufanyia kazi lakini Binafsi Kibabage ni more better kuliko Boka,Kibabage alizidiwaga na Lomalisa tu,lakini huyo Boka hakuna anachomzidi Kibabage zaidi ya miguu mirefu na mbio zisizokuwa na madhara!
Sawa,Yawezekana Musonda amedrop,lakini kwanini asimpe nafasi kama anavyowapa nafasi kina Aziz KI na DUBE?,hao waliopewa nafasi ni kitu gani wameki-offer?
Unaacha kumuanzisha PACOME ambaye kwenye mechi za karibuni amekuwa na kiwango kizuri wewe unamuanzisha CHAMA?,How?
Nani hakuona alivyoingia Mzize,PACOME na Kibabage mpira ulivyobadilika?,tuliwashambulia Azam utadhani wao ndiyo walikuwa Pungufu!
Binafsi niseme tu GAMONDI amechoka na hana Mbinu!,muda utaongea!
Msimu huu sina Imani na Ubingwa, Ingawa tumepoteza mechi moja hadi Sasa lakini kama hakutakuwa na mabadiliko ya haraka kutoka Kwa Gamondi na kuendelea kuing'ang'ania misimamo yake ya Kijinga,Ubingwa unaenda kuota mbawa!
Wachezaji hao hao waje wacheze klabu Bingwa,hao hao waje wacheze kombe la FA,hao hao waje wacheze ligi kuu,Je tutafika Kwa staili hii?,Kwanini asifanye rotation ya wachezaji Ili waliojeza muda mrefu nao wapumzike?
Yangu ni hayo tu kwa leo!
Poa,naheshimu mawazo yako lakini siyakubaliSimlaumu Kwa kutokufungwa goli hata moja,namlaumu Kwa namna timu inavyocheza vibaya!
Kung'ang'ania wachezaji walewale tu hata kwenye mechi ambazo hazina presha!
Kutokufungwa Goli hata moja si kipimo Cha kocha Bora!
Naamini kwamba yanga pekee ndo inastahili kushinda?? Mbona huwasifii wapinzani kwa kujipanga vyema??Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Endelea kuchunga ng'ombe huko Usukumani,Mpira tuachie watu wa mpira!U
Naamini kwamba yanga pekee ndo inastahili kushinda?? Mbona huwasifii wapinzani kwa kujipanga vyema??
Maelezo mengi lakini hoja yako itajibiwa na maneno haya WAPINZANI NAO WAPO VIZURI MZIMU HUU NA WAMEJIPANGA VYEMA. YANGA HAKUNA GAME WALICHEZA VIBAYA NA UKUMBUKE SIKU HAZIFANANI. Mchezaji gani kachukiwa na kocha?? Je umefika kwenye mazoezi ukaona huyo mchezaji unayemtetea anamshawishi vipi kocha??
Unaonekana haumfatilii mleta mada kuna uzi wako alizungumza haya haya kabla yanga hajacheza na Azam.Nina swali Moja hivi Yanga wangeshinda magoli Zaidi ya mbili ,je ungeandika hayo?
Nini kimekusukumq kuandika hoja hizo za kumnanga kocha?
Kwann basi usifikiri na mpinzani wako kama naye ame improve kulinganisha na mwakajana?
Kuna wakati tujifunze ku appreciate ubora wa vilabu vingine vinavyofanya vizuri dhidi yenu.
Tumekuelewa MZIMU huu bila Marefa ungekuwa una matundu kuliko Chujio.U
Naamini kwamba yanga pekee ndo inastahili kushinda?? Mbona huwasifii wapinzani kwa kujipanga vyema??
Maelezo mengi lakini hoja yako itajibiwa na maneno haya WAPINZANI NAO WAPO VIZURI MZIMU HUU NA WAMEJIPANGA VYEMA. YANGA HAKUNA GAME WALICHEZA VIBAYA NA UKUMBUKE SIKU HAZIFANANI. Mchezaji gani kachukiwa na kocha?? Je umefika kwenye mazoezi ukaona huyo mchezaji unayemtetea anamshawishi vipi kocha??
Baadhi ya ufafanuzi wako uko sahihi, hasa kuhusu kiwango cha Aucho na Dube. Ila kwa kocha na Aziz K natofautiana na wewe.Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na tabia ya mashabiki hoya hoya wa Yanga ambao wengine tunapojaribu kutoa ushauri nini kifanyike wamekuwa wakitishambulia!
Ni shabiki mjinga na mwehu pekee ambaye anaona Yanga ya Msimu huu inacheza vizuri kuliko ya msimu uliopita!
Binafsi nikiwa kama shabiki na mwanachama hai wa klabu yangu Yanga huwa nasikitika sana kuona ninapozungumza ukweli naishia kushambuliwa na mashabiki ambao kila uchwao wanataka uongo uwe ukweli ya kwamba Yanga Kwa sasa inafanya vizuri!
Msimu wa Mwaka Jana tumekuwa na msimu mrefu sana na msimu Bora kuliko misimu yote ambayo Yanga imewahi kushiriki!
1. Mabingwa ligi kuu
2. Mabingwa kombe la FA
3. Robo fainali ya klabu Bingwa Afrika
Haya yalikuwa ni mafanikio makubwa mno Kwa msimu uliopita!
Msimu huu umeanza na tunamshukuru Mungu timu yetu ilianza vema kwenye mechi zake za kirafiki na kupelekea hadi kutwaa kombe la Kimataifa la Toyota liliandaliwa na Kampuni ya Utengenezaji wa magari ya Toyota kule Afrika kusini!
Nikiangalia Yanga namna ilivyocheza kwenye ngao ya Jamii dhidi ya Simba na Azam nadiriki kusema ile ndiyo ilikuwa Yanga ya Msimu uliopita!
Msimu huu timu haina hali kabisa na haichezi Kwa umoja,kila Mchezaji anacheza kivyake,sielewi ni mfumo mpya au bado timu haija-kliki!
Timu inashinda lakini bado unaona kabisa Kuna kitu kimepungua,na ndiyo maana wapinzani wetu wanasema tunashinda Kwa "Papatu papatu" . Yaani huoni timu ikitengeneza nafasi za kutosha na kuzitumia
Msimu uliopita Yanga haikuwa na Striker zaidi ya Musonda na Mzize, lakini ndiyo timu iliyoongoza kufunga magoli mengi kuliko timu yeyote,msimu huu timu imesajili Strikers kama Prince DUBE, Jean Baleke Ili kuja kuipa timu nguvu kwenye ufungaji lakini hadi Sasa huyo DUBE hana goli hata moja na kwa namna ninavyomuona, huenda msimu huu ukawa mbaya zaidi kwake!
Binafsi naona uwezo wa Gamondi umefika mwisho (Huo ndiyo ukweli, mkitaka kuniua njooni mniue)
Sababu za kutokuwa tena na Imani Kwa Gamondi
1. Haiwezekani Mchezaji kama Aucho anaonekana kabisa kiwango kimeshuka na Gamondi kuendelea kumng'ang'ania tu kama mkewe, yawezekana Mchezaji kacheza mechi nyingi na kachoka ila Gamondi kakomaa naye tu utadhani hatuna wachezaji wazuri!
Aucho kwa sasa akicheza mnaomba Mungu asije akapewa kadi nyekundu kwasababu amekuwa na hasira za kipumbavu hata kama kosa unaona kabisa kafanya yeye,kwasasa anashindwa kabisa kutumia akili ya kimpira anatumia nguvu na hasira kama za UMUGHAKA!
Sababu za Gamondi Kutomchezesha Mkude au Sureboy ni zipi? Ni lini amempanga Sure boy au Mkude akamfelisha?, sikumbuki mechi hata moja labda mtanisaidia nyie!
Huyo huyo Aucho alipokuwa na Majeraha kwenye mechi zote mbili dhidi ya Mamelod akicheza Mkude na kila mtu mwenye macho aliona na kushuhudia shughuli ambayo Mamelod walikutana nayo!,Hakuna hata mechi moja kati ya hizo mbili ambayo Mkude alipewa hata kadi ya njiano (Jamaa huwa anakaba Kwa akili na siyo nguvu)
OK!,tuachane na hilo
Leo amekuja kuua kiwango Cha Kibwana shomari na kumfanya eti cha Ufupi na Mbilikimo Nkane acheze nafasi ya beki namba 2, Seriously?, Nkane huyu huyu ndiye ambaye tunategemea kwenda nae kwenye Michuano ya Klabu Bingwa endapo wachezaji wakiwa na majeruhi?,kabisa tunataka kuchukua kombe la klabu Bingwa Afrika Kwa kumfanya Nkane beki namba 2?