bulajunior
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 302
- 434
👊👊Nina swali Moja hivi Yanga wangeshinda magoli Zaidi ya mbili ,je ungeandika hayo?
Nini kimekusukumq kuandika hoja hizo za kumnanga kocha?
Kwann basi usifikiri na mpinzani wako kama naye ame improve kulinganisha na mwakajana?
Kuna wakati tujifunze ku appreciate ubora wa vilabu vingine vinavyofanya vizuri dhidi yenu.