Hili swala. La kufa na Figo nzima nililitafakari siku moja, tumetoka muhimbili kuuguza mgonjwa wa Figo, tunarudi kibaha tukakuta Kuna ajali ya gari watu watatu wamefariki hapo hapo, Kiufupi jamaa wametunza Figo vizuri lakini wamekufa kwa ajali ya gari!Uspo kunywa pombe hautakufa,?? au unataka tufe na Figo nzima ili iweje dada ephen😜
Soma kilicho andikwa mkuu.... Usikimbilie ku-comment kabla haujaelewa kilicho andikwa.Ni yaleyale maswala ya figo? Maana ndio ugonjwa unaotamba
mchechu ni mwarabu Koko shabiki wa simba fc na mwalishi wa kidedea huyo unaemzungumzia ni peter msechu Kwa taarifa mda huu wako wanafanya mixing kuongeza vionjo kwenye nyimbo ya kumuaga ndugu yetu .Atamuimba tena Rip[emoji120].
Kuna lile boya lingine sijui mchechu saizi labda linatunga wimbo wa kumuaga.
Sasa inakuwaje kuna watu life style yao ni nzuri, hawatumii vileo, anasa zozote ila wamekufa vijana tu na kuna mwamba hapo juu kasema babu yake anakunywa gongo na ana 98 years?Kuna mambo mengine siyo ku generalise kwa sentensi hii. Nani anadhani ataishi milele kwani?
Tunasema tunayosema ili iwe fundisho kwa wengine. Kama unaweza ku avoid ile life style inaweza kukuongezea japo siku moja ya kuishi
Tuko kwenye majonzi mkuuMalaria ni hatar
pale pale kwa Dr. JanabiNi yaleyale maswala ya figo? Maana ndio ugonjwa unaotamba
Hakuna sababu ya kufa na Figo nzima wakati kuna mpka vitoto vidogo vina shida ya Figo mkuu.Hili swala. La kufa na Figo nzima nililitafakari siku moja, tumetoka muhimbili kuuguza mgonjwa wa Figo, tunarudi kibaha tukakuta Kuna ajali ya gari watu watatu wamefariki hapo hapo, Kiufupi jamaa wametunza Figo vizuri lakini wamekufa kwa ajali ya gari!
Ni kujifariji tu na kujipa uspecial usiokuwepo ila unadhani kifo kinajali basi, chenyewe kinasomba tu siku ikifika. Wanakufa ndege, ngiri, fisi na pombe hawanywi wala hawapandi magari.Hili swala. La kufa na Figo nzima nililitafakari siku moja, tumetoka muhimbili kuuguza mgonjwa wa Figo, tunarudi kibaha tukakuta Kuna ajali ya gari watu watatu wamefariki hapo hapo, Kiufupi jamaa wametunza Figo vizuri lakini wamekufa kwa ajali ya gari!
Wame update uzi mwanzoni hikuwa imeandikwaSoma kilicho andikwa mkuu.... Usikimbilie ku-comment kabla haujaelewa kilicho andikwa.
Kama unaamini hakuna milele kwenye maisha, inakupasa uamini pia hakuna guarantee kwenye maisha, na hakuna recipe inayoweza kukupa millage yoyote kwenye maisha yako,Kuna mambo mengine siyo ku generalise kwa sentensi hii. Nani anadhani ataishi milele kwani?
Tunasema tunayosema ili iwe fundisho kwa wengine. Kama unaweza ku avoid ile life style inaweza kukuongezea japo siku moja ya kuishi
Kifo ya drLemi ongala haijapigwaMbona Clouds Tv wanapiga nyimbo za nusu uchi tu? Hawajaambiwa?
Dewj ,nimekujibu wewe mwenyewe kwamasikitiko ,umesema clouds mbona wanapiga tu nyimbo za akina zuchu ndo kasema hata nyimbo ya Dr lemi ongala Ile ya KIfo hakina huruma ,haijapigwaUmechanganya, hiyo ni Clouds Fm. Uwe unaelewa swali
Walila chumba kimoja na Marehemu Ruge South Afrika kisha wakasema nothing happened. Hapo ndipo mahusiano ya Jide na Gadner yakaanza kuyumbaUnataka kusema Jide ali msaliti Gadner ?!
Ndo hapo kufa kupo tu hata ufanyejeHawa wanywa soda wanafki mno babu yangu anakunywa gongo na anamiaka 98 sa hii. Na BP yake inachezea 120/80 mpka 130/ 83.
Dah! Mke alikanyagwa na Boss alafu anasema nothing happened.Walila chumba kimoja na Marehemu Ruge South Afrika kisha wakasema nothing happened. Hapo ndipo mahusiano ya Jide na Gadner yakaanza kuyumba