inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Soma huu uzi mkuu Gadna: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15Kitu gani Gadner kaongea? sisi wengine huwa hatufuatilii kabisa mambo ya chumbani
Ishawekwa tayari ipo kwenye thread hiiNnayo video ila sijui event ilihusu nini nimetumiwa watsap.
Ningejua jinsi ya kuiweka fasta mngeipata.
Hata mm huo msamiati sijauelewa
Kauli hyo angeongea mtu ambae hana uzoefu,everybody knows kuwa alikuwa mke wake so lazima washiriki tendo kulikuwa na haja gani ya kuzungumza tena public,kuna maceleb wetu kupewa elimu ya kuwa na privacy ya maisha yao,sio kila kitu kuweka kwenye social network au kukizungumza,watu wako interested na kazi yake sio maisha yake,Yaan alivo ongea hvo kaonyesha ana ugomvi tena mkubwaa, halaf hajawa mstaarab na kamdharililisha mwenzie
Muwasaidie hao wataishia kubaya,
Ndi ndi ndi.....Watakuwa wamekosea sana wakiutoa maana hii story itakuwa kubwa sana wiki mbili hizi.
Unajua komando hawezi kukubali ipite hivi hivi lazima amjibu kwa mtindo wowote.
Hayo mambo ya G spot hayatakiwi kuwekwa hadharani kwa mtu aliyestaharabika.Yani alisugua g sport mpaka anakojoa.
Labda bado wanatakana.Kwann walioachana wanafatanafatana
Kitu gani Gadner kaongea? sisi wengine huwa hatufuatilii kabisa mambo ya chumbani