Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Ukiona mwanaume anachekelea kulelewa na mwanamke basi kua na shaka na uwezo wake wa kiakili,yeye hyo miaka 15 hakukojozwa?!
 
Kumkojo...peke Yake haitoshi angemzalisha ingekuwa kanena jambo hapa JF. Wenzie sasa ndo tunaenda piga kazi kumaliza longolongo ya Gadna.
 
Watz wengi hatuna elimu ya mahusiano,ukiachana na ex wako haina maana ndo mwisho wa nyie kuongea,au kusalimiana.,mnaweza mkawa maex na mkaheshimiana vizuri tu,nakujuliana hali,kusaididna uex sio uadui,hii kauli ya gardner imenistaajabisha sana sikudhani kama angeingea kwa mtu kama yeye
Na haya ni matokeo ya maceleb wetu kutokuwa na privacy ya maisha yao,i hate this thing
 
Yaan alivo ongea hvo kaonyesha ana ugomvi tena mkubwaa, halaf hajawa mstaarab na kamdharililisha mwenzie

Muwasaidie hao wataishia kubaya,
Kauli hyo angeongea mtu ambae hana uzoefu,everybody knows kuwa alikuwa mke wake so lazima washiriki tendo kulikuwa na haja gani ya kuzungumza tena public,kuna maceleb wetu kupewa elimu ya kuwa na privacy ya maisha yao,sio kila kitu kuweka kwenye social network au kukizungumza,watu wako interested na kazi yake sio maisha yake,
 
Sasa nimeshaamini ule wimbo wa Lady Jdee wanaume kama mabinti ulikua na maana gani
 
hivi, jay dee akianika mabaya ya huyu ndezi, ataiweka wapi sura yake.....
 
Huyo Kigwangala mwambieni hizo ni personal issues.. Sasa clouds wanahusikaje hapo?
by the way IamwithGardner!
 
991cf9fb7f42d1f79271dafa3e942962.jpg
Haya tamko limeshatoka
 
Naona mda si mrefu Jide anandaa rmx ya ndi ndi ndi kama vile kipindi kile juma nature na sinta nyimbo nne mtu mmoja (inanuma sana na rmx yake,sitaki dem na rmx yake).Ila gardiner kakosea ila sometimes inauma sana jamaa kavumila sana yani ya maneno ktk ndi ndi ndi plus na ile video kuvumilia inahitaji uwe na hekima ya hali ya juu hata Jide kakosea vile vile.
 
Balozi wa wanawake Naibu waziri wa afya Kigwangala amtaka Gadner aombe radhi kwa wanawake kwa kuwadhalilisha,labda balozi amesahau na yule mbunge aliewadhalilisha wanawake wengine kule juzi
 

Attachments

  • balozi wa wanawake.jpg
    balozi wa wanawake.jpg
    30.5 KB · Views: 44
Na huyu Kigwangala naye aache kutafuka kiki... juzi mbunge wa ccm mwenzake kawatukana wabunge wanawake wa upinzani kwamba wamepata nafasi zao kwa kuuza uchi hajasema kitu, leo anaibuka kumtetea Jide??
 
Back
Top Bottom