Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Huna unachojua,ni utoto na kujimwambafya kwamba wewe ni Bora kuliko wengine.Huna ubora wowote, wazazi wako ndio wanakuona Bora.Hata Mimi hivyohivyoHatuhitaji employment history yako. Kwamba TCC ndio nini yani?
Umeshajionyesha kuwa wewe sio dereva wa masafa, kaa kwa kutulia.
80kmph maximum speed? Highyway?
Hakuna anayekutisha kwani yakikukuta ,ni Wewe na familia Yako Ishi upendavyo na ujinga wako!These are facts not beliefs.
Not everyone is capable of long distance driving. And the quickest way to identify said people is by their take on correct highway cruising speed.
Mmetumia lugha kali sana kwenye huu uzi, mixer kutishia watu vifo plus kuwaita washamba e.t.c
Learn to eat from the same pot you serve.
Maisha ni safari,Ishi upendavyo,usitake,mtu afanye unsvyoona Wewe,Hata Mitume hawakuwa na mawazo, SAWA, ushamba sio tusi,Kaa kwa kutulia,punguza stress.Huwezi acha, ila kamwe usiseme haiwezekanj
kwa walio na brevis huko umefika mbali, kwanza ongelea tu kwamba awe na gariAcha makasiriko dogo huu uzi kwa walio na brevis tu kama huna kaa mbali
Mwalimu wako alipatia shida kukufundisha,nimemwambia hiyo speed ya80km/hr,ipo kwenye kampuni tajwa na mpaka Sasa ni hivyo,Wewe ungekuja na employment history!Vipi mkuu mbona simple anda clear,povu la Nini ni mjadala wa kawaida tuu,we kimbia mbio , ukipiga mzinga,ufe,upone utajua wewe na familia Yako .Hatuhitaji employment history yako. Kwamba TCC ndio nini yani?
Umeshajionyesha kuwa wewe sio dereva wa masafa, kaa kwa kutulia.
80kmph maximum speed? Highyway?
Mbona umekomalia sana hilo neno, ukiona mtu anatembea spidi hiyo ujue kuwa anajua anachokifanya. Kwanza barabara uwe umeizoea, pili chombo kiwe vyema, tatu uwe mtu wa road mara kwa mara. Huwezi tembea spidi 50-80 Dar to MWZNenda tuu hiyo 140_150km/hr, Yakikukuta usiseme umerogwa!
Nenda mkuu utakavyo,yakikukuta ndio utajua, Bahati Nzuri sitakuwepo!Mbona umekomalia sana hilo neno, ukiona mtu anatembea spidi hiyo ujue kuwa anajua anachokifanya. Kwanza barabara uwe umeizoea, pili chombo kiwe vyema, tatu uwe mtu wa road mara kwa mara. Huwezi tembea spidi 50-80 Dar to MWZ
Na huna haja ya kuwepo mkuuNenda mkuu utakavyo,yakikukuta ndio utajua, Bahati Nzuri sitakuwepo!
Sasa mbona unapangia watu spidi mixer mikwara mingi?Maisha ni safari,Ishi upendavyo,usitake,mtu afanye unsvyoona Wewe
Usipangie watu. Usitoe ushauri kama hujaombwaHakuna anayekutisha kwani yakikukuta ,ni Wewe na familia Yako Ishi upendavyo na ujinga wako!
Humu ni jukwaa huru, hata wewe huwezi kunipangia Nini Cha kufanya,unaonyesha jinsi ilivyo Mpumbavu,unaongeza yaleyale unayotenda, Hekima hupewacbaadhi kwa kweli,Baba nae anasema Nina mtoto!Usipangie watu. Usitoe ushauri kama hujaombwa
Punguani, punguza, kiherehere!, Mtoto wa kiume wewe,acha mipasho!Kama shoga.Sasa mbona unapangia watu spidi mixer mikwara mingi?
Hapa umekwama mkuu,chezea watoto wenzio!Sasa mbona unapangia watu spidi mixer mikwara mingi?
Zingatia unayoona yanakufaa!Na huna haja ya kuwepo mkuu
kwahiyo prado inakuchelewesha kumwahi israeli mtoa rohoNina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari imetulia kabisa ukiwa speed 150 unaona kama iko speed 50.
Nina prado ila prado huwa naliacha nasafiri na brevis inakimbia sana na inachanganya haraka.