Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Nimesema Hili akaniona Mchawi
Kwahiyo gari ikipitwa watu wasinunue kwenda huko au unataka niitupe ili ufurahie wivu mbaya sana
Inawezekana lugha waliyotumia sio rafiki kwako ila nenda mwendo wa kawaida tu mkuu hiyo 80km/h na 100km/h sio mbaya magari yana mapungufu mengi sana yanapokua kwenye mwendokasi ndio maana likitokea lolote dereva anashindwa ku handle tatizo na kusababisha ajali mbaya kumbuka Brevis ni gari ya zamani sio hizi za 2020 ambazo nazo kuendesha inatakiwa unyate pia..
Gari ni matunzo dogo hata kama ni ya zamani ni matunzo tu ukiitunza vizuri gari na kukarabati kila siku utaiona mpya
 
Hakuna chuki dogo,hayo mavyuma tumemiliki hadi tumeyachoka! Tena wakati tunaanza kumiliki tulikuwa wachache!Hata majirani na mabolozi,walitupa Heshima ukitokea mgonjwa,kimbilio lao ni kwetu wenye magari,sio hii misifa ya mbio za barabarani utafikiri Ngiri katoka shimoni!
Ukizeeka lazima uwe mchawi una chuki sana
 
CRESTA, BREVIS, MARK 2 OLD MODEL, ni kundi moja.

Out of fashion cheap cars ila speed na comfort ipo vizuri. Kama si mtu wa kwenda na Fashion au una bajeti hizi za M5 sijui M3 na unataka gari used hii ndo gari yako.
 
CRESTA, BREVIS, MARK 2 OLD MODEL, ni kundi moja.

Out of fashion cheap cars ila speed na comfort ipo vizuri. Kama si mtu wa kwenda na Fashion au una bajeti hizi za M5 sijui M3 na unataka gari hii ndo gari yako.
Old is good hizi gari noma acha wabishe tu wanaobisha itakuwa wanatembelea ist nikimkuta njiani nampita kama amesimama kabisa
 
Udereva wa kujihami ndio udereva makini Duniani kote!Mbio barabarani sio udereva Bali ni kuwa na Afya ya Akili ndogo,na ni Hatari kwa anayeendesha mbio na kwa watumiaji Wengine wa barabara hasa watoto na akina mama wajawazito wanavuka barabarani.Namshukuru Mungu,nimeendasha magari kwa Sasa ni Miaka 20,Sijawahi pata ajali yoyote.Labds nyenyele na mchwa ndio nimewagonga,.Mtu kujisifia kukimbiza gari barabarani ni ugonjwa wa Akili sio bure.Sawa Kifo ni Kifo!
 
Back
Top Bottom