Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

Mbali na cheo lakini hata kabla sijaweka number plate ya Ukoo wangu kwenye Corolla yangu niliwahi simamishwa Mara moja na hapo nilikuwa mafuta Sana natoka Tunduma nimelala na Malaya alafu nikahisi ana ngoma maana nilienda Peku hivyo nilikuwa nakimbia kwenda ofisini niwahi kumeza dawa ,maana masaa yalikuwa yanaelekea kukata .

Mbali na hiyo siku sijawahi kusimamishwa zaidi ya kupungiwa mkono wa kwaheri na hao wanafunzi wa sare nyeupe
 
Ck Corola gari la heshima Sana kaka ,yaani kupigwa mkono ni vile awaze kupiga stori na wewe
 
🤣🤣🤣🤣
Eti kwenye akili zao huwa wanaamini kila aliyepo humo ni fala🤣🤣🤣🤣.
Watu mna madharau nyieeee aiseee🤣
 
hv kisheria, traffic akisimamisha gari yako inabidi upark afu ushuke ukamsikilize au yy anatakiwa akufate ulipopark uongee nae ukiwa ndan ya gari lako?
Unatakiwa ubaki ndani ya gari, USA ukisimamishwa na polisi ndo hutakiwi hata kujitikisa hata kidogo unatakiwa utulie usubiri maelekezo lakini ukidai sijui unafungua mkanda kabla hajakuelekeza kufanya hivyo unaweza kupigwa risasi on the spot
 
Unatakiwa ubaki ndani ya gari, USA ukisimamishwa na polisi ndo hutakiwi hata kujitikisa hata kidogo unatakiwa utulie usubiri maelekezo lakini ukidai sijui unafungua mkanda kabla hajakuelekeza kufanya hivyo unaweza kupigwa risasi on the spot
sawasawa
 
Aisee katika sehemu Huwa sipati usumbufu ni nikiwa na Lori , aisee gari imekula tan 18 unataka nisimame nikupe buku, yaani
 
Watu mnatoa mapovu ila ukweli ndo huo,nina experience nimepita dar mwanza,mwanza chuga na mwanza bk sijawahi kusimamishwa na traffic.
Tuache utani kuna gari traffic akiona hawezi isimamisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…