Gari mpya ya kifahari ya Diamond Platnumz

Sio lake . Ata ukiangalia ile nyimbo ambayo kamshirikisha Ne-YO yale magari yana plate number za Tanzania ila magari yote ni ya Ne-YO
 
Binadamu bwana!
 
Wimbo lenyewe baya ne-yo kamfunika yani kabaki kitukana watu instagram. Mida ya kutubu imefika .
 
ili gar limetumika kwny video ya marry you km umebahatika kuiona
 
Promo ya Wimbo unajua lile la Mosha tu bongo yako machache kuna GSM ARIS na Omar Bhakressa alilo muuzia Davis Mosha
 
Hahaha hata kama ndo mahaba mkuu si vyema kudanganya,unajua thamani ya hayo magari matano ni bei gani?
Nyie mnamaliza nguvu za ugali na matembere tu hapa mnabishania nini....!
 
Inabid waungwana mvumilie tu haswa wale akina tomaso na wengine ambao they cant stand hearing diamond's name, mbongo hadi aone gari imepaki nyumbani kwake ama anatembelea barabarani ndo aamini
 
Mbona mapovu hivo kwa watanzania wenzio [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe ameweka picha kama promo ya uzinduzi wa nyimbo yake; mtu amekimbilia hapa bila kuelewa lengo lake na kuweka habari hii, mtu kama huyu akiombwa atachomoa kweli?
 
Nimecheka sana ulivyo sema wasanii kutoka nchi ya Donald Trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…