Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu bwana!Mie Yanga, so hii Hainihusu
lakini
Hivi haya magari anazikwa nayo?
nauliza tu
Maana kama mtu una gari zako mbili
moja ya kutembelea na nyingine ya kuzungukia
unanunua nyingine saba za nini?
Basi hata tuyahurumie mazingira,
Maana hilo dude litaongeza hata kama 0.00007% ya Carbons halifai
Haya mnipige mawe sasa ...
Una maana gani mkuuWimbo lenyewe baya ne-yo kamfunika yani kabaki kitukana watu instagram. Mida ya kutubu imefika .
ili gar limetumika kwny video ya marry you km umebahatika kuionaMsanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia picha ya gari yake mpya yenye hadhi ya wasanii wa kimataifa kama akina Jay Z, Kanye West, Birdman, Weezy na Breezy aina ya Rolls-Royce . Pamoja na hayo SIMBA himself ametoboka tena kiasi cha pesa za madafu milioni 10 (10,000,000) kulipia jina maalum la SIMBA.
![]()
Hahhahaha kama kawaida wabongo hamkosi manenohutu tugari arusha vijana wanatembelea kitaa sana,hakuna cha kushangaza hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio lake
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo wengi ni matomasoSio lake . Ata ukiangalia ile nyimbo ambayo kamshirikisha Ne-YO yale magari yana plate number za Tanzania ila magari yote ni ya Ne-YO
Mkuu sio kweli, sijawahi kupishana na mtambo kama huu hapa mjini!hutu tugari arusha vijana wanatembelea kitaa sana,hakuna cha kushangaza hapo
Nyie mnamaliza nguvu za ugali na matembere tu hapa mnabishania nini....!Hahaha hata kama ndo mahaba mkuu si vyema kudanganya,unajua thamani ya hayo magari matano ni bei gani?
Mbona mapovu hivo kwa watanzania wenzio [emoji23][emoji23][emoji23]Diamond akitaka kuwapumulia vijana humu waliojaa mahaba kwake atachoka mwenyewe
Mwenyewe ameweka picha kama promo ya uzinduzi wa nyimbo yake; mtu amekimbilia hapa bila kuelewa lengo lake na kuweka habari hii, mtu kama huyu akiombwa atachomoa kweli?Mbona mapovu hivo kwa watanzania wenzio [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana ulivyo sema wasanii kutoka nchi ya Donald TrumpMsanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia picha ya gari yake mpya yenye hadhi ya wasanii wa kimataifa kama akina Jay Z, Kanye West, Birdman, Weezy na Breezy aina ya Rolls-Royce . Pamoja na hayo SIMBA himself ametoboka tena kiasi cha pesa za madafu milioni 10 (10,000,000) kulipia jina maalum la SIMBA.
![]()