Gari nimenunua Afrika Kusini Milioni 4, kodi Tanzania Milioni 18!

Gari nimenunua Afrika Kusini Milioni 4, kodi Tanzania Milioni 18!

Jamani mimi naulizia kwa hapa bongo ni wapi wanakouza pikipiki used zilizo katika hali nzuri kutoka Japan.Au ushuru wa TRA kwa pikipiki upoje?
 
Kuna ndugu yangu juzi kaingiza mzgo wa laptops kutoka SA zipo km 20 hivi pamoja na cameras. Jamaa wamempiga kila item moja 100,000/= amebaki analia tu.
 
Lipia tu hizo Bongo used zinauzwa kuanzia Mil 30-40. By the way ulipaswa kujua makadirio ya kodi hata kabla hujanunua hiyo gari mana TRA wana calculator yao inayokuonesha kiasi cha kodi. Zamani serikali ilikua inapoteza sana mapato kwa kukokotoa kodi kutoka kwenye Invoice ya gari hadi walipoanza kutumia fixed rate za magari.
Kama nimemuelewa vizuri ni kwamba jamaa ni kama alikua anaishi ZA for sometimes na hiyo gari aliinunua kwa matumizi yake huko huko ZA so kaamua kurudi nyumbani na ndio kakutana na hayo makitu! Kwa ufupi, Tanzania bado inatenda miujiza.
Kwenye kampuni moja niliokua nafanya nayo kazi, jamaa mmoja kutoka West Africa huko alikujaga kwenye hiyo Kampuni yetu, nadhani alikua anatokea Guine huko (is one of the French speaking country in Africa ) so mimi pamoja na wenzangu tukawa tunatafuta magari USED from Japan, kuna PRADO moja hivi tulilipenda (tulikua tunafurahisha macho tu) lilikua linagharimu ka $ 5000 hivi kwa maana ya CIF,tulipokwenda kwenye calculator ya TRA ilionesha KODI kama Tsh 18M plus na change hivi, yule jamaa akatuuliza, "In Tanzania, are you having vihecle industries!?" Tukamuuliza, Why Mr Camara (Camara jina lakutunga). Yeye alishangaa kwanini KODI kubwa namna hiyo ilihali hatuna kiwanda/viwanda vya magari. Kwake yeye, KODI kubwa sometimes inawekwa iliku discourage importations ya vitu vinavyo weza kutengenzwa locally.
 
Mkuu ugonjwa wangu ndo huo
mkuu kavute tu toyo usitafute ugonjwa wa figo
2374A.jpeg
 
Jamani hii nchi Mungu tu aingilie kati!

Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini dakika unagonga tu kibali kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO!

Yaani Toyota Hilux nimenunua Milioni 4.5 Afrika Kusini calculator ya TRA hapo bila kupepesa macho mzee baba anataka Tsh. Milioni 18.4!

Kurudi nalo nilikotoka ni issue! Wakati Afrika Kusini nimetembelea gari hiyo bila mushkeli kabisa! OMG!

Hapa kazi tuu
Lakini Mkuu, hizo gari unafahamu bei yake hapo Bongo ? Na, je kama ukiiagiza kutoka Japan itasimama shilingi ngapi ? Kama ulinunua 4.5 mil. + 18.5 mil ni sawa na 22.9 mil ambayo ni bei ya kawaida kwa T/Hilux.
 
Heavy Tax katika ku import magari pia inasaidia kucontrol miundo mbinu ya nchi kama traffic jam. kwahiyo on other way wanafanya hivyo ili kucontrol movement ya magari.
 
Kama nimemuelewa vizuri ni kwamba jamaa ni kama alikua anaishi ZA for sometimes na hiyo gari aliinunua kwa matumizi yake huko huko ZA so kaamua kurudi nyumbani na ndio kakutana na hayo makitu! KWa ufupi, Tanzania bado inatenda miujiza.
Kwenye kampuni moja niliokua nafanya nayo kazi, jamaa mmoja kutoka West Africa huko alikujaga kwenye hiyo Kampuni yetu, nadhani alikua anatokea Guine huko (is one of the French speaking country in Africa ) so mimi pamoja na wenzangu tukawa tunatafuta magari USED from Japan, kuna PRADO moja hivi tulilipenda (tulikua tunafurahisha macho tu) lilikua linagharimu ka $ 5000 hivi kwa maana ya CIF,tulipokwenda kwenye calculator ya TRA ilionesha KODI kama Tsh 18M plus na change hivi, yule jamaa akatuuliza, "In Tanzania, are you having vihecle industries!?" Tukamuuliza, Why Mr Camara (Camara jina lakutunga). Yeye alishangaa kwanini KODI kubwa namna hiyo ilihali hatuna kiwanda/viwanda vya magari. Kwake yeye, KODI kubwa sometimes inawekwa iliku discourage importations ya vitu vinavyo weza kutengenzwa locally.
Mimi nimewahi fanya kazi na hao watu wa west Africa kwao kodi ni kubwa kuliko huku kwetu,
 
Kodi za tanzania ni kukomoana tofauti na kenya.Ndiyo maana watu wengi wanakwepa kulipa kodi
 
Gari ya mwaka gani?gari used ndio zina ushuru mkubwa zaidi mkuu
Calculator haingalii umri tu kuna vitu vingi vinajumuisha so kinachoathiri bei ya ushuru ni bei ya gari, ikiwa na bei kubwa na ushuru unakua mkubwa pia!
 
Sera tuliyonayo dhidi ya wananchi ni pasua kichwa .
Mpakani cement ya Kenya ni 16,000/= Lakini ole wako uitumie !! Unatakiwa ununue ya Tz 21,000/=.

Huwa najiuliza ni lini watu wote watachukuliwa kama wakulima wa korosho ?!. Kama mwingine anahangaika na mahindi mwaka mzima, leo wa korosho na jeshi lisaidie 😳 😀
 
Umeshaileta? Ukiileta kwa meli, umekwisha. Ukija nayo kwa njia ya bara bara unaiendesha, utaingia nayo free kama chombo cha usafiri na utakaa nayo nchini kwa kibali cha miezi mitatu, renewable for another three. Hata ushuru ukija kulipa, hautafika huko. Ile ni calculator kwa magari yanayotoka Japan, Europe na America, Asia as well.
Kama umeileta kwa meli na umekwama, nishtue nione jinsi ya kukusaidia.
nimegifunza kitu
 
Back
Top Bottom