KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Jamani mimi naulizia kwa hapa bongo ni wapi wanakouza pikipiki used zilizo katika hali nzuri kutoka Japan.Au ushuru wa TRA kwa pikipiki upoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajaj tu ina mil 9. Ndo kichwa kinaumaPicha ya nini tena? Toyota Hilux ya mwaka 2005 used nimenunua kwa mtu double cabin
mkuu kavute tu toyo usitafute ugonjwa wa figoJamani mimi naulizia kwa hapa bongo ni wapi wanakouza pikipiki used zilizo katika hali nzuri kutoka Japan.Au ushuru wa TRA kwa pikipiki upoje?
Kama nimemuelewa vizuri ni kwamba jamaa ni kama alikua anaishi ZA for sometimes na hiyo gari aliinunua kwa matumizi yake huko huko ZA so kaamua kurudi nyumbani na ndio kakutana na hayo makitu! Kwa ufupi, Tanzania bado inatenda miujiza.Lipia tu hizo Bongo used zinauzwa kuanzia Mil 30-40. By the way ulipaswa kujua makadirio ya kodi hata kabla hujanunua hiyo gari mana TRA wana calculator yao inayokuonesha kiasi cha kodi. Zamani serikali ilikua inapoteza sana mapato kwa kukokotoa kodi kutoka kwenye Invoice ya gari hadi walipoanza kutumia fixed rate za magari.
mkuu kavute tu toyo usitafute ugonjwa wa figo
Lakini Mkuu, hizo gari unafahamu bei yake hapo Bongo ? Na, je kama ukiiagiza kutoka Japan itasimama shilingi ngapi ? Kama ulinunua 4.5 mil. + 18.5 mil ni sawa na 22.9 mil ambayo ni bei ya kawaida kwa T/Hilux.Jamani hii nchi Mungu tu aingilie kati!
Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini dakika unagonga tu kibali kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO!
Yaani Toyota Hilux nimenunua Milioni 4.5 Afrika Kusini calculator ya TRA hapo bila kupepesa macho mzee baba anataka Tsh. Milioni 18.4!
Kurudi nalo nilikotoka ni issue! Wakati Afrika Kusini nimetembelea gari hiyo bila mushkeli kabisa! OMG!
Hapa kazi tuu
Mimi nimewahi fanya kazi na hao watu wa west Africa kwao kodi ni kubwa kuliko huku kwetu,Kama nimemuelewa vizuri ni kwamba jamaa ni kama alikua anaishi ZA for sometimes na hiyo gari aliinunua kwa matumizi yake huko huko ZA so kaamua kurudi nyumbani na ndio kakutana na hayo makitu! KWa ufupi, Tanzania bado inatenda miujiza.
Kwenye kampuni moja niliokua nafanya nayo kazi, jamaa mmoja kutoka West Africa huko alikujaga kwenye hiyo Kampuni yetu, nadhani alikua anatokea Guine huko (is one of the French speaking country in Africa ) so mimi pamoja na wenzangu tukawa tunatafuta magari USED from Japan, kuna PRADO moja hivi tulilipenda (tulikua tunafurahisha macho tu) lilikua linagharimu ka $ 5000 hivi kwa maana ya CIF,tulipokwenda kwenye calculator ya TRA ilionesha KODI kama Tsh 18M plus na change hivi, yule jamaa akatuuliza, "In Tanzania, are you having vihecle industries!?" Tukamuuliza, Why Mr Camara (Camara jina lakutunga). Yeye alishangaa kwanini KODI kubwa namna hiyo ilihali hatuna kiwanda/viwanda vya magari. Kwake yeye, KODI kubwa sometimes inawekwa iliku discourage importations ya vitu vinavyo weza kutengenzwa locally.
Hakuna kitu kama hicho,cheki calculator ya TRA utashangaa maajabu.Gari ya mwaka gani?gari used ndio zina ushuru mkubwa zaidi mkuu
Nchi gani mkuu? Mi nimeisema hiyo nchi ya Guine and may be alikua ananidanganya au laa but alionesha mshangao mkubwa kwenye hiloMimi nimewahi fanya kazi na hao watu wa west Africa kwao kodi ni kubwa kuliko huku kwetu,
Calculator haingalii umri tu kuna vitu vingi vinajumuisha so kinachoathiri bei ya ushuru ni bei ya gari, ikiwa na bei kubwa na ushuru unakua mkubwa pia!Gari ya mwaka gani?gari used ndio zina ushuru mkubwa zaidi mkuu
Gari mpya Ina ushuru mkubwa kuliko used make bei ndo factor kuu!Yawezekana anadanganya tu huyu,hata gari hana
Nimecheka sana japo nna mawazo sanaTrue kuliko kuwaachia wapige mnada heri nimpe mwenye meli akalitupe baharini.
Sera tuliyonayo dhidi ya wananchi ni pasua kichwa .
Mpakani cement ya Kenya ni 16,000/= Lakini ole wako uitumie !! Unatakiwa ununue ya Tz 21,000/=.
Huwa najiuliza ni lini watu wote watachukuliwa kama wakulima wa korosho ?!. Kama mwingine anahangaika na mahindi mwaka mzima, leo wa korosho na jeshi lisaidie 😳 😀
Gari ya mwaka gani?gari used ndio zina ushuru mkubwa zaidi mkuu
nimegifunza kituUmeshaileta? Ukiileta kwa meli, umekwisha. Ukija nayo kwa njia ya bara bara unaiendesha, utaingia nayo free kama chombo cha usafiri na utakaa nayo nchini kwa kibali cha miezi mitatu, renewable for another three. Hata ushuru ukija kulipa, hautafika huko. Ile ni calculator kwa magari yanayotoka Japan, Europe na America, Asia as well.
Kama umeileta kwa meli na umekwama, nishtue nione jinsi ya kukusaidia.