Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima


πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Tena mimi mkuu hizo ndizo nazitaka, ukiona huwezi kuhudumia gari kama Nissan Fuga basi jua uchumi wako haukuruhusu kumiliki gari, nunua boxer 125cc.
Hahahaha hivi mi najiuliza haiwezekani kuunda gari lenye engine mbili za pikipiki hata ile ya boxer ili kuwaokoa wabongo πŸ˜‚ na adha ya kwenda sheli! Ina maana liwe na gearbox automatic gear 5 but yenye reverse gear tu lakini.
 
Dunia hii ni sehemu ipi TOYOTA hakubaliki????? 25 Best-Selling Cars, Trucks, and SUVs of 2020 Kutoka makampuni makubwa yote ya magari katika gari 25 zilizoshindanishwa na kuingia top 25 USA, TOYOTA kaingiza gari sita na Japan kwa ujumla πŸ‡―πŸ‡΅ kaingiza gari 14. karibia 50+% ya soko la magari kaliteka Mjapan na Mjerumani πŸ‡©πŸ‡ͺ sijamuona hata kwa gari moja.


1. Ford F-Series (787,422 units sold)
2. Chevrolet Silverado (586,675 units sold)
3. Ram Pickup (563,676 units sold)
4. Toyota RAV4 (430,387 units sold) πŸ‡―πŸ‡΅
5. Honda CR-V (333,502 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅
6. Toyota Camry (294,348 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅

7. Chevrolet Equinox (270,994 units sold)
8. Honda Civic (261,225 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅
9. GMC Sierra (253,016 units sold)
10. Toyota Tacoma (238,806 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅
11. Toyota Corolla (237,178 units sold)
πŸ‡―πŸ‡΅
12. Nissan Rogue (227,935 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅

13. Ford Explorer (226,217 units sold)
14. Toyota Highlander (212,276 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅
15. Jeep Grand Cherokee (209,786 units sold)
16. Jeep Wrangler (201,311 units sold)
17. Honda Accord (199,458 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅
18. Ford Escape (178,496 units sold)
19. Subaru Forester (176,996 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅
20. Subaru Outback (153,294 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅
21. Mazda CX-5 (146,420 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅
22. Nissan Altima (137,988 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅

23. Jeep Cherokee (135,855 units sold)
24. Ford Transit (131,556 units sold)
25. Toyota 4Runner (129,052 units sold)πŸ‡―πŸ‡΅

Tuache kumlinganisha Mjapani na vitu vya kijinga, Wabongo wenzangu mpo sawa kabisa TOYOTA ndio ndugu yetu wa damu kabisaaa








 
Wajerumani wa Jf watapinga hili.
 
Hahahaha hivi mi najiuliza haiwezekani kuunda gari lenye engine mbili za pikipiki hata ile ya boxer ili kuwaokoa wabongo πŸ˜‚ na adha ya kwenda sheli! Ina maana liwe na gearbox automatic gear 5 but yenye reverse gear tu lakini.
Mkuu kuna hii gari nimeiona kwenye beforward wanadai ni VITZ RS TRD, inaonekana zinatembea, nimejaribu kuangalia youtube naona zipo vizuri.

Halafu bei ni nafuu, lakini injini naona ni 1NZ.


Nimezileta hapa na wenzetu wanaopenda gari zinakimbia, kula mafuta kidogo, bei poa, rahisi kutengeneza n.k.
Nadhani kuna wadau humu watazielewa
Cheki chini inavyo amsha popo halafu ngoma ni manual.
Ukikutana na crown anachukulia poa, mpaka pale utakampo msomesha plate number ndio ajue .....
Mapank Bavaria Holy Man Torque vs HP na wengineo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…