Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Wajapan mnamiliki gari za 2019 si ndio?

Au na nyie mnanunua hizo hizo za 2003?

Hivi C class ya 2003 unailinganisha na gari gani za Toyota hapa bongo?

Kwamba utapata stability, speed, handling bora zaidi ya hiyo c class?
 
Bei ya hizo vitz unapata kabisa BMW nzuri
 
Wajapan mnamiliki gari za 2019 si ndio?

Au na nyie mnanunua hizo hizo za 2003?

Hivi C class ya 2003 unailinganisha na gari gani za Toyota hapa bongo?

Kwamba utapata stability, speed, handling bora zaidi ya hiyo c class?
Wazungu wenyewe wanakimbilia TOYOTA, na ndio wengi kuliko hata sisi weusi. kwanini hawanunui magari yao?
 
Wajapan mnamiliki gari za 2019 si ndio?

Au na nyie mnanunua hizo hizo za 2003?

Hivi C class ya 2003 unailinganisha na gari gani za Toyota hapa bongo?

Kwamba utapata stability, speed, handling bora zaidi ya hiyo c class?
Hiyo nakupa kabisa Toyota century tena ya mwaka 1997 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa hiyo C 2003
 
Hivi Toyota wameshaacha kuuza spare kwa mafungu?
 
Ishu sio mass production! Umeshawahi kuendesha high end Toyota car? Hata kama ni ya zamani kidogo?

Tatizo mnaendesha Low end Cars mnazifananisha na High-ends za Mjerumani. Halafu mnaleta ushabiki mandazi usio na maana!

Unaijua Toyota Celsior?
Ukiingia website ya Toyota, high end Toyota Car ni LC200 VX V8 & variants i guess. Ambayo nimeshapanda na kuendesha kidogo sana.

90% ya wanaomiliki gari za Toyota hazipo hata kwenye website. Hizo ni mass produced kama cocacola.
 
Sasa hii list si ametengeneza mtu tuu...Yani uiweke Toyota 4 Runner ligi moja na hizo Subaru Forester na Outback kweli....
 
Wanajivuna na dashboard [emoji3][emoji3][emoji3]... assume ingine kama ya 2JZ-GTE, ingekuwa ya wazungu wa Jf tusingelala ila wajapan tumesitiaha hiyo ndio wajua kwamba viwangi vyao bado sanaaa
Kuna powerful engines zinakuja stock tena made by hand na hiko ki-engine kako kinatengenezwa na series of robots.

Hiko ki-engine kako hakina u-special wowote, hp na torque kimepitwa mbali sana.
 
Lexus ni Lexus na Toyota ni Toyota.

Hayo ni makampuni mawili tofauti na yana objective tofauti.

Ongelea bidhaa za Toyota na sio za Lexus.
Wewe umelewa Lexus iliwekwa maalumu for expensive brand out of Toyota. Ni marketing strategies tuu maana watu wote wanajua Toyota has cheap car. So wakatengeneza brand iitwe Lexus for expensive car. Brand zote za Toyota zipo Lexus na same material tuu.
 
Kuna powerful engines zinakuja stock tena made by hand na hiko ki-engine kako kinatengenezwa na series of robots.

Hiko ki-engine kako hakina u-special wowote, hp na torque kimepitwa mbali sana.
Hiyo engine ya 2JZ-GTE kutokana na mkataba ndio maana waliiminya kuachia nguvu yote na hiyo ilitokana mkataba. Wazungu wana fitina sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…