Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Ishu hapa ni uwezo wa kununua hayo magari mazuri, na ndio maana hata hapa wenye hayo magari ni watu wenye fedha zao.
Baadhi yetu tunafahamu hayo magari mazuri lakini tunaendesha ist kwa sababu hatuwezi kuyanunua hayo
huu ndio uhalisia, hamna ambaye hatamani Vieite ila mipunga tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Urafiki una maana manzese ile au? Dah, abarikiwe mjapani wetu Toyoda. Maana ingekuwa mjerumani ilikuwa utafte hela ya ada ya mtoto ya mwaka mzima kurekebisha vitu vidogo tu.
Pale kituo cha bus mahakama ya ndizi kwenye traffic right,kama unatokea ubungo usivuke zile taa,kata kushoto kwako kama unaenda tandale uzuri,gari yangu ni rav4 kufika pale nikakuta baloon kama limetupwa na lenyewe lina 3s 🀣 linangojea kukatwa,tukachomoa humo,raha ya mjapenga achana nayo
 
Jamaa walikupa bei ya kutupwa bila shaka! Sasa imagine kwa mjerumani spare gani utauziwa 40K? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maana kila gari toleo lake linakuja na spear tofauti. Hapa ndip Toyota alipotisha zaidi!

Engine moja application kwenye gari 3-4....Spare pia zinaingiliana kichizi yani 😁😁😁
 
Hatari sana hii mashineπŸ˜‚ ila umeskia corrolla ya 2021 itakuwa ni GR kama ile Yaris. Nayo itakuwa inamwaga moto balaa 267HP itakuja na turobocharger!
Mjapan ana mawe ya hatari sana, sina mashaka kabisa na uwezo wa mjapan. Corolla zipo njema sanaaa. Ila wajeruma watasema ni taka taka
 
Wanapokuwa garage;
Mjapana: haina shida ni shilingi ngapi hiyo boss ?
Mjerumani : nyie wa toyota maisha yenu mazuri sana, sio kama sisi, hapa inabidi niiache gari hadi siku nikipata pesa, likikaa sawa nauza nahami kwenu, nyie gari zenu hazina shida kabisa
 
Ogopa sana European car inauzwa kutoka kwa mzaramo mwenzako kalitumia limemshinda, yaani kimbia aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…